Toosie Slide
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 788
- 955
Sheria za hii nchi ni za ki se nge sana
Hususani sheria ya mitandaoni ni za ki ma Ku ma ku
Hususani sheria ya mitandaoni ni za ki ma Ku ma ku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvccm hawawezi kukamatwa wako juu ya SheriaNilidhani ndo walio kamatwa.
Achana na mimi cockroach. Wewe ni kiumbe mfu na usiye kuwa na hoja za kuargue na mtu kama mimi, tulio liona darasa kwa ndani na kupata exposure ya maisha kwenye nchi nyingine pia. Hoja zako za kibongo bongo ni nyepsi sana na hazina mantik. Ni hoja za masikini wa akili. Mtu asiye liona darasa kwa ndani. PERIOD!
Shangazi yake hayupo hai na haishi huko yupo chatoKwa shangazi yako sumbawanga.
Hao hata jaji mkuu anawaogopaUvccm hawawezi kukamatwa wako juu ya Sheria
Badala ya kujibu hoja wanakamata watu, kama si kweli si ajitokeze? Mbona simple tuHuo uonevu unyanyasaji kwa wananchi ndiyo imepelekea wengi kuichukia Serikali hii ya awamu ya chato
Huo uonevu unyanyasaji wa kukamata kamata watu hovyo ndiyo imepelekea wananchi kuichukia Serikali hii ya chatoBadala mseme anauwa ili nchi ianze maombi rasmi ya kumnusuru mnaficha...endeleeni bac
This time goes far, it is beyond kigogo.Kigogo ni pimbi tu.
Hii si mara ya kwanza kam-wish namba 1 kifo....
Acha kubwabwaja kijana mwenzako tayari ananyea debe!BBC nao wamechukuliwa hatua gani?
Ndio maana hizi chuki kwa watawala haziishi kwakua nchi sasa inaongozwa kama wanavyoongoza familia zao nyumbani.
Mnahangaika na watu ambao kuwapata ni tabu mnawaacha BBC ambao wanaofisi zao kuwapata ni rahisi.
Ninyi mmezoea kuonea watu.Mnatunga sheria zisizo tekelezeka ili mfunge watu.Hivi kwa mfano unatunga sheria kupata haja ndogo ni mara moja kwa siku utakua na lengo gani kama si kulazimisha watu wavunje sheria ili muwafunge.?Hii cyber crime act inafanana kabisa na mfano huu wa sheria zisizotekelezeka.
Naamini kwa sheria hii hata ile ya jiwe "basi baki na mavi yako nyumbani" kama ni raia wa kawaida tayari umevunja sheria na unafungwa.
Kwa haya mnayoyafanya hizi chuki hazitaisha
Media za Kenya ziliingizwa chaka...Media za Kenya hawana tena hamu na siasa za Tanzania!
Ndo kazi ya TISS hiyo.Media za Kenya ziliingizwa chaka...
Huyo alikuwa anaumwa na alijitangaza mwenyewe. Huyu haumwi wewe unatangazaje? Umeshamsikia tena Balozi wa Mashoga anatoa updates za India/China? Ameshajua aliingia choo cha kike.Tatizo lililopo kuna watu mnawachukulia kama miungu fulani hivi kuwa awawezi kuumwa Wala kufa. Mh rais mstaafu Kikwete alijijua yeye ni binadamu ambaye anaweza kuuma na anaweza kufa pia. Na ndiyo maana alipoumwa alisema na hata tezi dume alienda kutibiwa kila mtu alijua na ikawa rahisi wananchi kumuombea.
Acha kutisha watu muuza mihogo wewe wa BuzaWewe shahidi wa pili mpaka mtaongoza njia hadi alipo bila hata ya kutumia jasho
Maajabu makubwa kabisa haya!
Amesambaza kwa kutumia media gani?
Hakuna weledi hapo. Waliosambaza ni wengine huyo wanamuonea tu ili waonekane wanapiga kazi. Mediocrely done.