Hivi twitter imefungwa tena ? Maana natumia VPN na sijawahi zima kizembe
Zima vpn jaribu kufungu twitter kama itakubali

Matumizi ya vpn kwa mujibu wa mamlaka ya mawasiliano ni illegal

Sasa ilikuwaje wapost habari nyeti kwenye twitter hususani zinazowahusu wa tanzania huku wakijua wameifungia na matumizi ya vpn yamepigwa marufuku?
 
Rais haumwi, yupo mfungo wa Kwaresma...
Mfungo wa kwaresma unapatikana maeneo gani wote tuende tukamcheki kama yupo?

Kwanza alipokuwa akihutubia kanisani alisema yeye kukaa na njaa hawezi hivyo hawezi kufunga
 
wanajua kuna wambea wataziona tu.
 
Kwanini niwashe vpn kama haijafungwa?

Una habari kua kwa mujibu wa TCRA matumizi ya vpn ni illegal?
Watu hawafahamu hilo. Ukisikia mtu kakamatwa na kushitakiwa kwa kumiliki program ya computer ndio vitu kama hivyo
 
Jamani mbona mnatuchanganya?. Mtu wangu wa karibu kitengo kanidokeza nisisumbuke na kuangaika na uvumi unaoendelea mtandaoni TISS wameamua kucheza na akili za watu kupotezea ishu ya mahindi kukataliwa Kenya.

Kigogo na Chahali ole wenu Jiwe azinduke
Watakuwa TISS wapuuzi kufanya huo ujinga.

Ishu ya mahindi haiwezi leta taharuki hadi TISS ifanye hizi sanaa.

Hatuna idara ya kipumbavu.
 
Mkuu Ramadhani Kingai nikukumbushe siku chache zilizopita Mh. Mbowe na mwenzie walizushiwa kifo, acha huyo amezushiwa ugonjwa (wakati inawezekana kabisa kwamba ni mgonjwa kweli), sijui mmeshawashughulikia wahusika hao waliowazushia kina Mbowe kifo?.
Mbowe alizushiwa na watu wake mwenyewe,maana sakata la kutofautiana wao kwa wao limeanza kitambo.limekuja kujishihieisha majuz kwenye teuzi za viti maalum.
 
Mbowe alizushiwa na watu wake mwenyewe,maana sakata la kutofautiana wao kwa wao limeanza kitambo.limekuja kujishihieisha majuz kwenye teuzi za viti maalum.
hata kama amezushiwa na watu wake wenyewe serikali ilibidi it tamko.tena ni gazeti la musiba ndo maana watu wanafurahi jiwe kufa ili kiburi Cha kina musiba kiishe
 
Mbowe unamlinganisha na Rais kweli!!? Rais wa nchi ni mkuu wa nchi na Amiri Jeshi wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama huwezi mlinganisha na Mwenyekiti wa Chama!
lile Ni gazeti la kina musiba ndo maana watu wanafurahi jiwe kufa ili kiburi Cha kina musiba kiishe
 
Ni AIBU kukamatwa na kuwekwa ndani kwasababu za kijinga kama hizi.

Wabongo tunapenda kufwata mikumbo, na kushabikia mambo tusiyokuwa na ushahidi nayo.

Watu kama Kigogo na wengine ni sababu ya wengine kukamatwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…