Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Zima vpn jaribu kufungu twitter kama itakubaliHivi twitter imefungwa tena ? Maana natumia VPN na sijawahi zima kizembe
Matumizi ya vpn kwa mujibu wa mamlaka ya mawasiliano ni illegal
Sasa ilikuwaje wapost habari nyeti kwenye twitter hususani zinazowahusu wa tanzania huku wakijua wameifungia na matumizi ya vpn yamepigwa marufuku?