Wanamsaka wapi sasa? Kwenye mtandao au huku uraiani au popote pale?

Halafu, hivi yule E.Chahali ana akili timamu kweli?
Anajua anachofanya, wafwata mkumbo wanaingia chaka kupitia yeye.
 
Kwani Mkuu unafahamu Jiwe yuko wapi ?
 
Hajutii mwenye kukaa kimya penye kila wa kala.
 
Mbowe alizushiwa na watu wake mwenyewe,maana sakata la kutofautiana wao kwa wao limeanza kitambo.limekuja kujishihieisha majuz kwenye teuzi za viti maalum.
Kwa hiyo cyprian musiba aliyeandika kwenye magazeti yake Ni mtu wa mbowe?
 
hata kama amezushiwa na watu wake wenyewe serikali ilibidi it tamko.tena ni gazeti la musiba ndo maana watu wanafurahi jiwe kufa ili kiburi Cha kina musiba kiishe
iko hivi mkuu.kuna ofisi ya msemaji wa serikali na ofisi ya msemaji wa ikulu,hawa wasemaji wote wa ofisi hizi mbili,hutoa matamko ya Mambo ya kiseeikari ,ikiwemo viongozi wa serikari mwenywkiti wa chama hawezi kutolewa tamko na ofisi ya msemaji wa serikali,au ofisi ya msemaji wa ikulu mwenyekiti wa chama anaweza kupeleka malalamiko yake mahakamani au police.

Police au mahakama ndo hutoa tamko,maana Hilo ni kosa la jinai hivyo hushughulikiwa na police au mahakama.mbowe sio kiongozi wa kitaifa,cheo Cha mbowe kimeizinishwa na wanachama wake Tena wachache,lakini pia kikadhibitishwa na mtu mmoja yaani msajili wa vyama vya siasa.

Msajili wa vyama akikifuta chama Basi mbowe hatotambulika hata na wewe.rais ni mtu wa kwanza mwenye uwezo wa kuamuru,na kuamrisha ktk yote kwa watu wote zaidi ya mil.60. Je, huyo mbowe anauwezo huo? Nimeona nikufafanulie kirefu ili ujue rais ananguvu gani na mbowe ana Nani wa kumtolea tamko.
 
Kwa hiyo cyprian musiba aliyeandika kwenye magazeti yake Ni mtu wa mbowe?
Musiba ni mwananchi wa kawaida alishindwa nn kwenda kumfungulia mashtaka mahakamani,au wanasheria wa mbowe walishindwa nn kwenda kufungua mashtaka kwa niaba ya mteja wao!!??
 
Features of dictatorship is controlling freedom of expression
What's freedom of expression friend...telling a lie is also freedom of expression,. Spreading conflicting romours is also fred.of expression. Get the hell out r here...
 
Mkuu Ramadhani Kingai nikukumbushe siku chache zilizopita Mh. Mbowe na mwenzie walizushiwa kifo, acha huyo amezushiwa ugonjwa (wakati inawezekana kabisa kwamba ni mgonjwa kweli), sijui mmeshawashughulikia wahusika hao waliowazushia kina Mbowe kifo?.
Hawakai kinondoni hao I guess
 
mzee serikali ilitoa tamko kuhusu amber rutty ndo isitoe tamko kuhusu kiongozi mkuu wa upinzan??.mbaya zaidi huo uzushi umeandikwa na gazeti la ccm. Huo ni upumbavu na double standards za kijinga.ndo maana watu wanafurahi jiwe kufa wana sababu zao za msingi kabisa
 
Musiba ni mwananchi wa kawaida alishindwa nn kwenda kumfungulia mashtaka mahakamani,au wanasheria wa mbowe walishindwa nn kwenda kufungua mashtaka kwa niaba ya mteja wao!!??
mzee usijifanye hujui musiba ni kibaraka wa magufuli.na jiwe ndo hivyo limekufa tutaona jeuri ataipata wapi now
 
BBC nao wamechukuliwa hatua gani?
Ndio maana hizi chuki kwa watawala haziishi kwakua nchi sasa inaongozwa kama wanavyoongoza familia zao nyumbani...
Hii mi serikali ya ajabu sana....!!

Badala ya kutafuta suluhu ya tatizo wao wanaongeza tatizo jingine 1 au zaidi!!

Hivi kama MSEMAJI WA SERIKALI ANGEJITOKEZA MBELE YA MEDIA NA KUTOA UFAFANUZI JUU YA AFYA YA RAIS nani angeliendelea kupiga kelele?

Lakini kinachofanyika sasa ni kinyume kabisa!!! Kujaribu kuficha na kutishia watu wanaohoji Rais yuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…