Kwahio ww unajua yuko wapi sio, sasa utatusaidia na jeshi la polisi kutupa habari zake na wapi alipoMwambie aje hapa nchini sasa siyo kujificha huko mafichoni
Picha limeisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mdude alikuwa anajiona mjanja kama ukivyo wewe hapa saa hizi ana nyea ndoo peke yake
Kwa akili yako unafikiri kigogo hawamjui?Kwahio ww unajua yuko wapi sio, sasa utatusaidia na jeshi la polisi kutupa habari zake na wapi alipo
Wewe mpuuzi, kwani hii nchi ni yako, acha utumwahongera kwa Jeshi la polisi Mkoa wa kinondoni,
tunaomba wazushi wote wakamatwe kwa kushirikiana na TCRA.
lkn pia wapo baadhi ya viongozi wa upinzani ambao wamejitokeza hadharani na kushadadia habari za uzushi pia wakamatwe ili iwe fundisho kushabikia na kucho chochea taharuki kwa wananchi wasio jua lolote.
Mtadakwa sana maana mnaenda tu kama mmekatwa vichwaSawa, na huyu yuko kwenye friji.
Lionee
Wameshindwa kina siro aje aweze huyo mpuuziKwa akili yako unafikiri kigogo hawamjui?
Wakimkamata wamle kiboga kwanza
Kama hii nchi ni yababayako ndio tutadakwaMtadakwa sana maana mnaenda tu kama mmekatwa vichwa
Ndio maana nakwambia mwambie aje hapa nchini awe anaposti upuuzi wake uone kama atachukua roundWameshindwa kina siro aje aweze huyo mpuuzi
Dunia ina kanuni zake ukikiuka unaenda na majiKama hii nchi ni yababayako ndio tutadakwa
Ndio, hii ni nchi yangu, ndio maaana nasema TCRA wawafichue wale wote walio husika na kushabikia uzushi, wakamatwe na hatua kali zichukuliwe dhidi yake, tena naomba safari hii kabla hawajafikishwa mbele ya mahakama waonyeshwe hadharaniWw mpuuzi, kwani hii nchi ni yako, acha utumwa
Tofautisha uoga na ujinga, ulionao ni ujinga. Tuishie hapaHhhaa we mtu muogaa..khaa.ni mwanaume au ke?
Subiri niwataarifu hawa wapuuzi wenzako waje wakukamate uwasaidie alipoNdio maana nakwambia mwambie aje hapa nchini awe anaposti upuuzi wake uone kama atachukua round
UnajifarijiSubiri niwataarifu hawa wapuuzi wenzako waje wakukamate uwasaidie alipo