Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa
hongera kwa Jeshi la polisi Mkoa wa kinondoni,
tunaomba wazushi wote wakamatwe kwa kushirikiana na TCRA.

lkn pia wapo baadhi ya viongozi wa upinzani ambao wamejitokeza hadharani na kushadadia habari za uzushi pia wakamatwe ili iwe fundisho kushabikia na kucho chochea taharuki kwa wananchi wasio jua lolote.
Wewe mpuuzi, kwani hii nchi ni yako, acha utumwa
 
Ww mpuuzi, kwani hii nchi ni yako, acha utumwa
Ndio, hii ni nchi yangu, ndio maaana nasema TCRA wawafichue wale wote walio husika na kushabikia uzushi, wakamatwe na hatua kali zichukuliwe dhidi yake, tena naomba safari hii kabla hawajafikishwa mbele ya mahakama waonyeshwe hadharani
 
Back
Top Bottom