Hili sakata waliosambaza, waliocoment, walio like ni wengi sana
Mods fanyeni kazi yenu tusijeharibu jf yetu
Mimi nimekomenti sana tu huyo Kenge Mkuu Nyambafu akafe mbele tu, Rais Kinyesi tu huyo
Na bado naedelea kucommenti, na JF itaeendelea kuwepo hata kama huyo Kenge afe au asife
 
Una uhakika ni uzushi mkuu, yawezekana kinyume chake ndio ukawa uzushi
jiangalie mkuu usije ukaangukia kwenye mikono ya dola halafu ukakosa wa kukutetea, akili za kuambiwa changanya na zako, usiwe kama bendera...kufuata upepo unapo elekea mwishowe utajikuta vichakani.

Serikali imesha tamka kuwa huo ni uzushi unao enezwa na kuchochewa na baadhi ya watanzania wanao ishi nje ya nchi amabao wanahisi wapo salama , yaaani hawakamatiki,
chukua tahadhari, usije ukawasumbua familia yako bureee
 
Huyo dada ni mjinga, kafanya biashara na watu wengi humu Ila anaendeshwa na upepo wa wanasiasa bila kujua wale wapo kwenye kazi yao ya siasa.
Sasa akikamatwa wewe unapata hasara gani mkuu!!!!! Anajua anachokifanya
 
Nini ni uzushi? Yaani nijiangalie kwa kufanya nini kibaya? Acha kupoteza muda wako kwa watu wazima wanaojua wanachokifanya mkuu.
 
Kwamba alietuhumiwa mgonjwa ndio athibitishe sio alietangaza ndie athibitishe Kwa kuwa alikua na ripoti ya daktari inayoonyesha huyo muhusika ni mgonjwa.

Huyu aliyekamatwa anashughuli pevu maana mpaka anatangaza anataarifa zote za mgonjwa alizitoa wapi hatujui Ila kama hana hizo taarifa namuonea huruma Sana.
 
Kigogo anawakilisha mawazo ya wengi hata ambao unawaamini kumbe ji wafuasi wa kigogo... wapo pia viongozi wa serekali ni wafuasi wa kigogo kimya kimya.
 
Kigogo anawakilisha mawazo ya wengi hata ambao unawaamini kumbe ji wafuasi wa kigogo... wapo pia viongozi wa serekali ni wafuasi wa kigogo kimya kimya.
Wewe shahidi wa pili mpaka mtaongoza njia hadi alipo bila hata ya kutumia jasho
 
Ndio maana watu wanaombea kifo
 
Jamani mbona mnatuchanganya?. Mtu wangu wa karibu kitengo kanidokeza nisisumbuke na kuangaika na uvumi unaoendelea mtandaoni TISS wameamua kucheza na akili za watu kupotezea ishu ya mahindi kukataliwa Kenya.

Kigogo na Chahali ole wenu Jiwe azinduke
Kila mtu anajifanya ana rafiki TISS
 
Ila wabongo hutamani vitu vitokee kuna watu hufuata mkumboo
 
Maajabu makubwa kabisa haya!

Amesambaza kwa kutumia media gani?

Hakuna weledi hapo. Waliosambaza ni wengine huyo wanamuonea tu ili waonekane wanapiga kazi. Mediocrely done.
hakuna kilio cha wengi mkuu.

kila mtu atalia kwa mguzo wake,wewe kapost ukijaaa utakula na wa kwenu.
 
Mbona unaongea kwa kunong'oneza na uwoga umekujaa, ukijifanya una mbinu kama kigogo utakufia jela usifikiri max ataacha kutoa taarifa zako utakamatwa kama kuku
Nani anaongea kama muoga? Eti utakamatwa, ivi nyinyi mtatoka lini ujinga na uwoga, iko day mtaambiwa mlale matako wazi na mtalala, acheni uoga hao mnaowaogopa sio Miungu, msitake sifa za kuonekana mnawasupport wakati hao ndio chanzo cha umaskini wenu na ujinga, kama ww ni muoga acha wenzako watoe walionayo, acheni upuuzi MATAGA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…