Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Kazi Kweli Kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kama kinyume chake ndio ukweliTofautisha uoga na ujinga, ulionao ni ujinga. Tuishie hapa
Mimi nimekomenti sana tu huyo Kenge Mkuu Nyambafu akafe mbele tu, Rais Kinyesi tu huyoHili sakata waliosambaza, waliocoment, walio like ni wengi sana
Mods fanyeni kazi yenu tusijeharibu jf yetu
jiangalie mkuu usije ukaangukia kwenye mikono ya dola halafu ukakosa wa kukutetea, akili za kuambiwa changanya na zako, usiwe kama bendera...kufuata upepo unapo elekea mwishowe utajikuta vichakani.Una uhakika ni uzushi mkuu, yawezekana kinyume chake ndio ukawa uzushi
Sasa akikamatwa wewe unapata hasara gani mkuu!!!!! Anajua anachokifanyaHuyo dada ni mjinga, kafanya biashara na watu wengi humu Ila anaendeshwa na upepo wa wanasiasa bila kujua wale wapo kwenye kazi yao ya siasa.
Kwamba alietuhumiwa mgonjwa ndio athibitishe sio alietangaza ndie athibitishe Kwa kuwa alikua na ripoti ya daktari inayoonyesha huyo muhusika ni mgonjwa.Kuugua kwa Mwanadamu ni jambo la kawaida , na asilimia kubwa ya watu wenye umri zaidi ya miaka 50 wanaugua jambo moja au mawili ......namna pekee ya kudhibitisha kuwa huyo magufuli sio mgonjwa ni yeye kutoka hadharani kuweka vipimo vya afya yake hadharani ili kudhibitisha kuwa huyo Majura ni muongo .....tofauti na hapo ni kupoteza muda kumshitaki
Wewe shahidi wa pili mpaka mtaongoza njia hadi alipo bila hata ya kutumia jashoKigogo anawakilisha mawazo ya wengi hata ambao unawaamini kumbe ji wafuasi wa kigogo... wapo pia viongozi wa serekali ni wafuasi wa kigogo kimya kimya.
Kamanda kama anataka kuliaHuyo kamanda aache mihemukoView attachment 1724583
Ndio maana watu wanaombea kifohongera kwa Jeshi la polisi Mkoa wa kinondoni,
tunaomba wazushi wote wakamatwe kwa kushirikiana na TCRA.
lkn pia wapo baadhi ya viongozi wa upinzani ambao wamejitokeza hadharani na kushadadia habari za uzushi pia wakamatwe ili iwe fundisho kushabikia na kucho chochea taharuki kwa wananchi wasio jua lolote.
Kila mtu anajifanya ana rafiki TISSJamani mbona mnatuchanganya?. Mtu wangu wa karibu kitengo kanidokeza nisisumbuke na kuangaika na uvumi unaoendelea mtandaoni TISS wameamua kucheza na akili za watu kupotezea ishu ya mahindi kukataliwa Kenya.
Kigogo na Chahali ole wenu Jiwe azinduke
Acha watu waombee mabaya kwa kauli hizo! Tz umoja wa kitaifa ni ndotoJeshi la polisi kamateni tu maana hawa vijana hawajifunzi pasipo shuruti
Acha Mkwara wa kifala wewe jamaa, huna loloteWewe shahidi wa pili mpaka mtaongoza njia hadi alipo bila hata ya kutumia jasho
hakuna kilio cha wengi mkuu.Maajabu makubwa kabisa haya!
Amesambaza kwa kutumia media gani?
Hakuna weledi hapo. Waliosambaza ni wengine huyo wanamuonea tu ili waonekane wanapiga kazi. Mediocrely done.
kigogo sio wa kukamatwa kizembe hivyo kwani matamko ya kumkamata yameanza leo.Huyu changudoa akikamatwa na apigwe bakora hadharani akiwa utupu
Nani anaongea kama muoga? Eti utakamatwa, ivi nyinyi mtatoka lini ujinga na uwoga, iko day mtaambiwa mlale matako wazi na mtalala, acheni uoga hao mnaowaogopa sio Miungu, msitake sifa za kuonekana mnawasupport wakati hao ndio chanzo cha umaskini wenu na ujinga, kama ww ni muoga acha wenzako watoe walionayo, acheni upuuzi MATAGAMbona unaongea kwa kunong'oneza na uwoga umekujaa, ukijifanya una mbinu kama kigogo utakufia jela usifikiri max ataacha kutoa taarifa zako utakamatwa kama kuku