darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 1,899
- 4,055
Kwani wamempima wakakuta sio mgonjwa. Kibongo bongo Ukishafikisha miaka 50+ ni vigumu sana kua hauna tatizo la kiafya (ugonjwa)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatisha watu tu. Huyo Charles majura ukute wamepanga naye njama. Ili mradi tu kuogopesha watu.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.
Pia , Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita Kigogo katika mtandao wa Twitter, kwa tuhuma za kuzusha hofu na uongo kwamba Rais John Magufuli anaumwa.
Kumzushia mtu rip,ni jinaiHivi mtu kuwa mgonjwa ni dhambi?
hata mange naye nashangaa anazinguaaaa[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Naona leo Kigogo haja tweet kabisa [emoji38][emoji38][emoji38] .....
Huu ukimya watu washakula mitama huko si Ngurumo wala Lissu wote kimyaaa .... Sasa watakuwa wanapika spinning nyingine [emoji38]hata mange naye nashangaa anazinguaaaa[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Tatizo mnachukulia tittle ya u rais,Kama ujumbe wa nyumba kumi kumi.Japo sio kitu kizuri kufurahia kifo au matatizo ya mwengine.Lakini kinachonishangaza sana hili jambo kufichwa kama kwamba kuumwa ni dhambi sijui ni sababu za kiusalama au ni nini
Wenzio wanajua mshakula za uso.hata mange naye nashangaa anazinguaaaa[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Pengine hujui kwamba rais ni binadamu unajua ni mungu.Tatizo mnachukulia tittle ya u rais,Kama ujumbe wa nyumba kumi kumi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyo charles Majura kumbe ndiyo huyo ambaye anaitwa Kigogo 2014.maana ndiye aliyetweet
Mkuu Twitter haijafungwaHawa jamaa hawako serious yaani wamefunga twitter halafu wanatumia hiyo hiyo twitter kama source ya kufikisha habari?
bila vpn hupati accessMkuu Twitter haijafungwa
Mwambie aje hapa nchini sasa siyo kujificha huko mafichoniMwambieni kigogo ni taasisi so asipayuke ovyoView attachment 1724585