unprejudiced
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 3,503
- 2,865
Wanamsaka wapi sasa? Kwenye mtandao au huku uraiani au popote pale?
Halafu, hivi yule E.Chahali ana akili timamu kweli?
Kafanyaje mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamsaka wapi sasa? Kwenye mtandao au huku uraiani au popote pale?
Halafu, hivi yule E.Chahali ana akili timamu kweli?
Mwambie aje hapa nchini, siyo anajimwambafai akiwa kwa mabeberu wakeWanakamata dagaa wanamuacha kigogo huu ni uonevu
Kwani mnaogopa nini? Hapa tutaenda sawa kama kuna mtu kinamuuma na akazikweHuyo jamaa nadhani hajielewi humu kishawasilianaa na watu wengi kuhusu business, lakini hapo naona anatukana matusi yote bila sababu zozote. Hakuna justification ya kutukana.
Ngoja tuone pengine anaweza kuonewa huruma akaachwa
Utazikwa tu usijaliKwani mnaogopa nini? Hapa tutaenda sawa kama kuna mtu kinamuuma na akazikwe
Utapumuliwa huko gerezani kama ulivyozoea tabia za kishenzi.Acha upimbi pimbi ww, kwani magereza ni yamamayako?
Ni kweli watumiaji wa utambulisho wa kigogo2014 ni wengi lakini IP address ya mtumaji ujumbe husika ni UNIQUE kwa maana ya kwamba mtumiaji mtandao kwa njia yoyote ya mfumo wa kitakirishi (kompyuta) IPv4 Protocol na atakayelengwa ni mmoja tu kati ya hao 72 uliowataja sijui ulifanya sensa yao lini na kubainisha ni nani na ni hata hivyo wewe ni shahidi mwongozaji mzuri utalindwa tu kwa taarifa zako za uhakika zinazopelekea mtuhumiwa kukamatwa ili ajibu tuhuma zake katika vyombo vya sheria.Kigogo ni watu kama 72 na wapo katika nchi 8. Aanzie hapo
Labda ndiye kigogo mwenyewe
Kachungulie tena.Naona leo Kigogo haja tweet kabisa [emoji38][emoji38][emoji38] .....
Mbona unaongea kwa kunong'oneza na uwoga umekujaa, ukijifanya una mbinu kama kigogo utakufia jela usifikiri max ataacha kutoa taarifa zako utakamatwa kama kukuHuyo kamanda aache mihemukoView attachment 1724583
Kama unataka kuwachomesha wamekurahisishia kazi boss taarifa zao unazo zipeleke kituo kilicho karibu na wewe kwanini unahangaika huku mtandaoni Kama inakukera.Unajua Leo nimeshangaa Sana watu ambao tumekuwa tukiwasiliana kuhusu biashara na maneno wanayoyatoa. Lakini pia nawaza Kama unataka kufanya hayo yote why unaji-engage kwenye business Tena na id ileile?
Anyway
Wapi nimesema tunaogopa? Nadhani mjadala wetu uishie tu hapaKwani mnaogopa nini? Hapa tutaenda sawa kama kuna mtu kinamuuma na akazikwe
[emoji23] [emoji23]Jiwe ni attention seaker! Utashangaa anaibukia feri kununua samaki na mapapai
Una uhakika ni uzushi mkuu, yawezekana kinyume chake ndio ukawa uzushihongera kwa Jeshi la polisi Mkoa wa kinondoni,
tunaomba wazushi wote wakamatwe kwa kushirikiana na TCRA.
lkn pia wapo baadhi ya viongozi wa upinzani ambao wamejitokeza hadharani na kushadadia habari za uzushi pia wakamatwe ili iwe fundisho kushabikia na kucho chochea taharuki kwa wananchi wasio jua lolote.