Mbaya sana unamtongoza mdada anakujibu ana mtu!!

Sasa mkiambiwa NO hamkubali mnataka na sababu! Muda ni mali watu wanaenda directly kwenye sababu, utajiongeza wewe!
 
Unavyotoa ushauri utafikiri wewe ndo huyo mtu alienijibu huyo dada...🀣
Siyo mimi mkuu😁. Nenda tena, kakujibu apime uwezo, ukirudi nyuma ataona we muoga huwezi kupambania penzi. We hujaonaga unang'oa demu hafu mchizi wake unamjua au kama huyo humjui ukimpata huyo mwanamke baadae ukimuuliza kwamba yeye haogopi kuanzisha uhusiano na wewe wkati anamtu mwingine tayari, Vipi jamaa mwenye demu akishtukia mchezo itakuwaje?! Yeye mwanamke lazima akurudishie swali wewe, utakuta anakuuliza kwani wewe unaogopa/unamuogopa??! Hapo mzee hata kama unahofu jua tu akiwa kwako ndo anajisikia salama kuliko kwa jamaa yake. Ila kama jamaa ni mbavu jibu tu naogopa..usijitutumue maana za mwizi ni 40πŸ˜…πŸ˜…
 
Hakuna mtu wa mtu, Sisi wote ni watu.

Okay.
 
Bado najipenda mkuu...
 
Sasa unataka akudanganye kuwa hana, wakati anae mkuu? 😁
Sema wadada wengi ni waongo waongo, unamtongoza ana mme kabisa, unamuuliza umeolewa, anakwambia sio kiviiile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…