Ni kweli ila si code zote zinaweza kufungua kila sehemu mkuu. Zingine ukizitumia kwa baadhi ya wadada huwapati😁😁😆Mara nyingi huku kitaani aaah, ni mzobemzobe tu.Hapana mkuu ,sikuhizi hatuombi hivyo, mwendo wa code tu kama unamaanisha kweli unaipata
DuuuhWadada wanaojibu hivyo wameamua kuukimbiza..😅
Kakosea code 😅Nikweli
Hivyo wewe ni bingwa wa kujipunyeto..?
Mimi mzima kabisa, sijui wewe?Tuachane na hilo limeshapita, vipi mzima wewe...?
Mi anipe ganji tu.Unatuuza live au sio mwanetu?😅
We jitose mguu pande mguu sawa.Nani alikuambia humu kuna wadada..??😅
Usijali, utakuwa sawa tuNipo fresh, japo sio sana
Kumbe kijana upo kati na unatukana wazee😅Mimi nipo darajani kati ya millenial na hao gen z, naplay part zote hakuja nilipokosea!
Wazee wasikuhizi hamna adabu...🤣
😅😅Ndio halafu inaonyesha wewe hayo ndio majibu yako
Tusamehewe tuna hojawatu kama nyinyi mnafaa kupigwa shoti za kwenye ulimi!
Nipe no ya huyo dada niongee nae tafadhari huenda hajui kama kakuumiza sanaHakuna msamaha!