Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Sawa mmekosa penalty Ila BOCCO mmuangalie kwa jicho la pili, mpira umemurudi kaishia kutetemeka tu.

Haya sasahivi kasababisha faulo ya kijinga kabisa.
Hapo kwa John Bocco hata usimlaumu Bocco, lawama zote ziende kwa kocha, anawezaje kumpanga mtu asiyeweza hata kutuliza mpira na kutoa pasi kwa wenzake??? Yaani huyu bocco kwa kiwango chake cha sasa hata ligi daraja la tatu hachezi
 
Red card ni halali hyo bt penalty sio halali hyo
 
Inaonekana we huwa unaangalia mechi za Simba pekee ndio maana unatetea, makosa hayo yapo karibia kila mechi, hoja yangu kwann Simba awe mnufaika mkubwa???
 
Dah! Mbeya City wanaupiga mwingi!! Yaani kama Brazil vile. Timu iko pungufu lakini haikati tamaa. Yaani ni more than a team work aisee! Hongereni Mbeya City kwa mapambano[emoji123]

Wanyakyusa wote nchini tuko pamoja nanyi.
 
Ukibebwa bebeka acha kulia lia kolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…