Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Hapo kwa John Bocco hata usimlaumu Bocco, lawama zote ziende kwa kocha, anawezaje kumpanga mtu asiyeweza hata kutuliza mpira na kutoa pasi kwa wenzake??? Yaani huyu bocco kwa kiwango chake cha sasa hata ligi daraja la tatu hachezi
wa kulaumiwa sio kocha bali viongozi, kocha alipeleka mahitaji lakini wakapuuzia hapo anawaonyesha ujinga wao
 
Sio kila kosa la kimpira linastahili adhabu, makosa mengine huwa ni physical challenge tu, sasa kwa Simba kila kosa linatafsiriwa na adhabu zinatolewa, iyo exception ndio tunayoitilia shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…