Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

haya ni matokeo ya kocha. kapanga mfumo wa kijinga akijilinda. halafu alikubalije dirisha dogo kufungwa bila kusajili striker wakati ni tatizo lolionekana mapema?
Mkuu haukuwa kwenye ile mob ya kutaka Chama?
Kwanza unamtoaje beki mrefu Inonga ? Au alitaka kufungwa 2?
Kapombe uwezo unazidi drop
 
Bado mapema sana mkuu
Bado naamini tupo kwenye race
Uto watapoteana tu wakati huo tutakua tumeisha gain momentum
Acha utani labda kama utakua mgeni wa hii ligi kumbuka Kuna timu 16 msimu huu... Unapotoa sare na mbeya city huku yanga anaishinda coastal Union mkwakwani inabidi ujiulize Kuna nini??

Anyway time will tell ila najua yanga ana mechi moja tu ngumu ambayo ni dhidi yenu... Sasa unampotengeneza gape ujue hali inazidi kua mbaya...
 
Sasa ulitaka wacheze kina nani na hao ndio wachezaji tegemeo wa Simba?
 
Kwa picha za marudio inaonesha kuwa kagere hakuwa offside, ila bocco Ndio alikuwa offside, hivo naimani mwamuzi msaidizi alinyoosha kibendera kwakuwa bocco alidhamiria kuucheza mpira na Kufanya iwe offside
 

Bhalibwino
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…