Mkuu haukuwa kwenye ile mob ya kutaka Chama?haya ni matokeo ya kocha. kapanga mfumo wa kijinga akijilinda. halafu alikubalije dirisha dogo kufungwa bila kusajili striker wakati ni tatizo lolionekana mapema?
Kwanza unamtoaje beki mrefu Inonga ? Au alitaka kufungwa 2?
Kapombe uwezo unazidi drop