Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

ni kama uongozi hautazami mpira,hapa kocha anatakiwa kupewa maelekezo na uongozi. kama yeye anaona mchezaji mzuri basi waondoke wote
 
Hahahaha.. kama angeshinda ndo ingerudiwa ila amekosea alafu amekosa huwaga ndio imetoka hyo mku...
Simba tumeonewa sana, hata ile penat aliyokosa Mugalu ilitakiwa irudiwe kwa maana alipiga kabla ya filimbi ya refarii
 
mimi nachojua kocha anapendekeza anahitaji mtu wa namna gani au jina la mchezaji kabisa uongozi unafanyia kazi. hayo mengine siyajui
Basi wewe huijui Simba, Magoli ameshasema wazi viongozi ndio wanaosajili wachezaji kwa kuangalia Simba inataka nini, kifaa ninachotumia hapa siyo rafiki ningekuwekea video clip umsikilize mwenyewe.
 
ni kama uongozi hautazami mpira,hapa kocha anatakiwa kupewa maelekezo na uongozi. kama yeye anaona mchezaji mzuri basi waondoke wote
kweli bocco wa kumwingiza halafu mpo nyuma magoli mawili
 
Mdogo wangu GENTAMYCINE hebu njoo upambane na hawa Popoma wanao kucheka na kukudhihaki! Mimi kama kaka yako mkubwa sijisikii vizuri hata kidogo. Hebu fanya uje uwape vidonge vyao haraka.[emoji16][emoji16]
 
kwa timu iliyopo hakuna ufumbuzi. kwa sababu zimetolewa nyingi lakini ni moja tu aliyofunga Kagere juzi. upigaji penati ni uwezo wa asili,kufundishwa inachangia kidogo sana
kwa timu iliyopo hakuna ufumbuzi. kwa sababu zimetolewa nyingi lakini ni moja tu aliyofunga Kagere juzi. upigaji penati ni uwezo wa asili,kufundishwa inachangia kidogo sana
Inabidi kocha atafute mpigaji mzuri wa uhakika, si mbaya akimjaribu Sakho.
 
Tuache mihemko
BOCCO apewe HESHIMA yake

Mfumo mzima wa timu umefeli pakubwa
Watu wako pungufu halafu tunakaa kulia na mtu mmoja tu?
Timu nzima imecheza hovyo sana
 
Daaah ila bocco ni jipu, sijaangalia mpira wala kusikiliza ila kia mwana lawama kapeleka huko
mpira wa penati uligonga mwamba yeye na kipa wamebaki kumalizia tu anaanza kutuliza tena badala ya kuunganisha,mpira hauna nguvu upo slow ni ishu ya kumalizia anausimamisha tena aupige Hadi anakutwa.
Cross ikapigwa tena yuko pekee offside badala ya kumwachia Kagere na yeye anajitutumia ,mwisho goli imeingia ikakataliwa maana yeye kajaa offside ,magoli mawili yamekosekana kwa ajili yake
 
Phd prof.Pape Ousmane Sakho + Mwamba wa Lusaka =mwingi mpaka unamwagika.
Plus Wakili Msomi Bernard Morrison! [emoji51][emoji51] Washambuliaji makatili John Boco, Chris Mugalu na Meddie Kagere!! [emoji16][emoji16][emoji16]Viungo wakali akina Nungunungu [emoji51][emoji51][emoji51], Kanoute, Mzamiru [emoji16][emoji16]

Kuna timu ya kuwazuia kuchukua point zote 3 muhimu kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…