OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
ni kama uongozi hautazami mpira,hapa kocha anatakiwa kupewa maelekezo na uongozi. kama yeye anaona mchezaji mzuri basi waondoke woteKama Simba wakiendelea kumwingiza Bocco tutamwondoa sisi. Hana kiwango bado wanang'ang'ana kumwingiza.
Alishindwa kumalizia mpira wa penati tukakosa goli la kusawazisha,goli la pili mpira ulikuwa wa Kagere naye anasubira tu ikawa offside ,tumekosa magoli mawili kwa ajili yake