Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

pelekeni malalamiko yenu tff, msitulilie hapaaa!!makolo ulibwanji nyieee
 
Bora kama wewe ni mbeya city
 
Utopolo mnajitekenya halafu mnacheka kwa sautiii

Nendeni TFF mkachukue kombe lenu la nusu msimu mlilozoea kulibeba.
 
Pablo alikosea kiukweli. Hata kama Mbeya city ni wazuri lkn team selection ya Pablo iliiangamiza Simba
 
Kwani hii mechi bado haijaisha tu ?
 
Ficha ujinga wako basi, we hujaona swali la mleta Uzi? Au ulitaka nijibu vipi
Acha hasira kufungwa ni kawaida, hakuna timu invincible duniani na wala hakuna kinachoweza kubadilika hata u-react vipi.

Take heart 💜 my friend, that's football my friend, its results sometimes defy logic.
 
Tapeli hakuna mchezaji apo
Nilikuwa namtafuta mtu mwenye akili kama hii ili niseme kitu, afadhali umetokea japo naamini utapingwa sana. Kenedy ana akili na uthabiti wa mwili kuliko huyu tunayemlipa mamilioni kwa kazi ya kuhamasisha mashabiki washangilie.

Nilijua ipo siku wenye akili wataona madhaifu ya Inonga na kumdharau, asante Paulo Nonga kwa kuonesha madhaifu ya the most sang defender from Simba.
 
Mda wote anatafuta sifa kutoka jukwaanj
 
Kocha aache hasira zisizo na maana, ana panic mno.
Atulie mpira ndo ulivyo


Kuna wachezaji inabidi Simba iseme imetosha
Kibu
Kagere
Mugalu
Bocco
Mzamiru
Morrison
Mhiru
Bwalya
Wawa

Hawa waondolewe kwa manufaa ya timu
Sasa mkuu ukiwatema hao wote si timu yote ishakufa?! Itabidi uanzishe timu mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…