Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Bado tu unaota ndugu bora ukanywe pombe tu mmeshapapaswa kunakoHawa wanakufa mapema tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado tu unaota ndugu bora ukanywe pombe tu mmeshapapaswa kunakoHawa wanakufa mapema tu
Kwanini sio halaliRed card ni halali hyo bt penalty sio halali hyo
Namaanisha,ni halali?
Leo simba habebeki ndugu,moja litani ng'inia hadi dk 90. UsikhofuJamani jamani Mimi naomba Makolo aangukie pia ingoke jamani jamani. Ila marefa mnaboa kuwabeba Hawa Mikia.
Tulia acha papara mpira bado huuBado tu unaota ndugu bora ukanywe pombe tu mmeshapapaswa kunako
🤣🤣🤣 wapeni wapeni mpaka wajae. 🤣🤣Mbeya washafanya yao huko tangu lini mwali akaleta nyodo mbele ya wanaume?
Kwani chama hayupo leo?
Kabisa mkuu......UNYAKYUSANI NI BRAZILI NDOGO[emoji709][emoji709]Dah! Mbeya City wanaupiga mwingi!! Yaani kama Brazil vile. Timu iko pungufu lakini haikati tamaa. Yaani ni more than a team work aisee! Hongereni Mbeya City kwa mapambano[emoji123]
Wanyakyusa wote nchini tuko pamoja nanyi.
Hebu nicheke mie. 😅😅utadhani Simba ndio wapo pungufu
Sasa watu kama huyo Boko si ni mizigo tu uwanjani.utadhani Simba ndio wapo pungufu