Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Inaonekana we huwa unaangalia mechi za Simba pekee ndio maana unatetea, makosa hayo yapo karibia kila mechi, hoja yangu kwann Simba awe mnufaika mkubwa???
Wewe unaye angalia mechi zote unashindwaje kujua makosa na adhabu zinavyotolewa uwanjani.Kama simba inafika zaidi langoni mwa timu pinzani kuliko timu zingine inashindikana vip wachezaji wake kuchezewa rafu mara nyingi kuliko timu zingine.Swali ni je makosa yanayoadhibiwa na refa ni makosa sahihi au marefa wanayabuni wenyewe kichwani.mambo mengine hayahitaji mihemko kuyaelewa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kwa vyovyote matokeo yatakavyokuwa, nyie MPENI REFA FUNGU LAKE... amefanya Kazi yake vya kutosha kabisa. Msimdhulumu ujira wake. Ama pandeni dau atoe red nyingine pengine wakiwa 8 mnaweza pata sare
 
Back
Top Bottom