mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Refa mda umetosha maliza mpira, Hawa Mbeya city wamecheza pungufu muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni swala la muda tuuMikia watapewa penati ingine
Hakuna sare leoMikia wanaomba sare muda huu
Usijali mpira ukiisha utakaa sawa sababu utakuwa ushazowea matokeo na hautakuwa na jinsi pia.Yaani nimevurugwa😂😂
Hahaha. Zaidi ya mzigo. Dalili zinaonyesha leo tunalala. Technical na psychological bench nimefeli miserablySasa watu kama huyo Boko si ni mizigo tu uwanjani.
Mlipieni Chuo aende kusoma Ukocha Ughaibuni.
Kumbe time badodakika ya 70, MCC 1- 0 SSC
kitu Rose Muhando liveRed card ya mchongo tayar,bado penalty ya mchongo 🤣🤣🤣
Tukiwaambia timu yenu inasurvive kwa msaada wa waamuzi mkubali.utadhani Simba ndio wapo pungufu
Wanapiga dua mikia,yaani watoto wanacheza Pungufu,mikia wanaruka ruka tuHakuna sare leo
Wewe unaye angalia mechi zote unashindwaje kujua makosa na adhabu zinavyotolewa uwanjani.Kama simba inafika zaidi langoni mwa timu pinzani kuliko timu zingine inashindikana vip wachezaji wake kuchezewa rafu mara nyingi kuliko timu zingine.Swali ni je makosa yanayoadhibiwa na refa ni makosa sahihi au marefa wanayabuni wenyewe kichwani.mambo mengine hayahitaji mihemko kuyaelewa.Inaonekana we huwa unaangalia mechi za Simba pekee ndio maana unatetea, makosa hayo yapo karibia kila mechi, hoja yangu kwann Simba awe mnufaika mkubwa???
Dah roho ilinishtuka kidogo.Hapana.
Upo? Afcon itakuwa chungu leo. 🤣🤣
💪🏻💪🏻Usijali mpira ukiisha utakaa sawa sababu utakuwa ushazowea matokeo na hautakuwa na jinsi pia.
Hii hope uliyonayo itakuwa imefikia mwisho. 😀
Refa kawapunguzia mtu na kuwapa tuta bado mikia hawamwelewi Ikambi,afanye nini sasa?Tukiwaambia timu yenu inasurvive kwa msaada wa waamuzi mkubali.
Kama yule msemaji wao yuko wapi hivi. 🤣🤣🤣[mention]Shadeeya [/mention] kuna wadau siwaoni kabisa yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chama anachoma mahindi jukwaaniVipi kuhusu chama is back?
Atakuwa anapepewa na kupewa huduma ya kwanzaKama yule msemaji wao yuko wapi hivi. 🤣🤣🤣
Kwahiyo wewe ungekua refa usingekua unatoa adhabu kwa makosa yanayofanywa na wachezaji.Kuna makosa ya kawaida yanayoonekana kwamacho ya mtu yoyote sasa labda utuambie wewe ni kosa gani lililohukumiwa isivyo stahili ili tujiridhishe kua simba inanufaika zaidi.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app