Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

.... Kwa hiyo andiko lako hili linaweza kubadili matokeo yakasomeka Mbeya City 1 na Simba 1. Nauliza tu.
Ficha ujinga wako basi, we hujaona swali la mleta Uzi? Au ulitaka nijibu vipi
 
Kwanza niwape HONGERA Timu ya Mbeya City kwa ushindi wa leo na hasa Jemedari Nonga na licha ya kucheza mkiwa wachezaji10 tu. Poleni sana wana Msimbazi kwa matokeo ya leo ambayo kwa ukweli hamkuutegemea. Kwa matokeo ya leo sasa ni dhahiri ubingwa wa Yanga sasa njia nyeupeeeee. Wana Yanga sasa kazeni buti.
 
jamaa wamekula umeme mapema kpnd cha kwanza
penati wamepewa
mpira mpk dk 98
ila watu wamekaza hvyohvyo, huyu kocha msimu hamalizi vyura wanamtimua, mechi ijayo watampresha amchezeshe chama akibamba kupangiwa watu afu akashndwa kupata matokeo atawatambua wanasimba
 
Leo Mbeya City bahati yao chama hakuwepo, tungewafunga goli tano shenzi zenu kumbe sisi makolo hamtujui vizuri eenhe!!
 
Back
Top Bottom