Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duniani kote hayo hayapo....Ila kweli, Mbeya wanaujasiri sana. Walitakiwa wakae na watu wa Mara, alafu wafuate watu Arusha, nchi ingekuwa pazuri. Ni suala la kujitambua tu.
Hata kwa waisrael wanaosifika kwa kuwa na akili nyingi, wapo machizi.Majibu yako yanapingana na mada yako.
Mada ilikuwa Mbeya waanzishe chama Chao cha siasa Sasa kwanini unawatenga wanambeya wengine kuwaita wanaccm wakati wote wanaotoka Mbeya.
Huyo hamna kitu,yule atakuwa Mrundi.Hamna Mnyakyusa muoga kama Tulia.Wanawake wa Kinyakyusa ni very agresive!7. Dr. Tulia Ackson Mwansasu
Hapo ndiyo CHADEMA inafeli,kudhani inaweza kuiondoa CCM peke yake.Vyama Dola vya Uhuru nchi nyingi Afrika viliondolewa kupitia Political Alliances,nenda Kenya kuing'oa KANU walitumia alliance ya NARC nk.Hao wote ni watu wa hisia, Hakuna kiongozi hapo, ni kelele tu za IGA, usifananishe Chadema na mambo ya ajabu.
CHADEMA kashindwa kuiondoa CCM peke yake na hataweza,ni lazima aunganishe nguvu na vyama vingine pamoja na majukwaa kama sauti ya Watanzania.Hapa ndo unaweza kuona ni kwa namna gani nchii bado ipo na vilaza sana , yani badala ya kufikilia namna ya kuunganisha nguvu katika vyama vilivyopo , unawaza tu kuongeza utitiri wa vyama ambao umekua hauna tija miaka yote ,
Aya ndo mawazo wenda mnachukua huko sijui sauti ya watanzania, kwa ushauri sijui wa yule babu yenu,
Kwa sasa chadema ilipofika hata vingeundwa vyama 30 vipya kile chama ,hakiko huko .
Anzisheni ata kesho,
CHADEMA Wana utoto sana,wanafikiri wanaweza kuiondoa CCM peke yao bila kuwa na ushirikiano na watu wengine.Anazungumzia upinzani CCM ni chama tawala, mi naona Bora waanzishe Tu wawazidi chadema
Acha ufala,Mwaikambo alikuwa Shirika la Bima.CHADEMA = Chaga Development Manifesto.
Watu wa Mbeya chao wakiite MBEDEMA i.e MBEYA DEVELOPMENT MANIFESTO.
Watu wa Mbeya ni wakabila sana. Msisahau Mwaikambo alicho kifanya pale NSSF.
So wakianzisha chama chao then everything will be Mbeyalized. Na wakichukua nchi ndio itakuwa hatari zaidi.
Kwenye maombi ya kazi it will be like " The applicant must be fluent in English, Kiswahili and Kinyakyusa".
Mbeya kuna kabila moja ?Kusajiliwa chama cha kikabila haiwezekani. Wajiunge na vilivyopo vinatosha sana kuwawakilisha
Hana roho ya Yuda ni mtu poa sana aseeMda wote atakuwa na ukwasi..atakuwa hama matatizo madogo madogo
Yaani mie nipiganiwe na mdudu? Pls tengua kauli na uombe radhi yaani mtu timamu kama mimi ni wa kupiganiwa na mdudu kweli? Mbona umeamua kunitukana matusi ya nguoni!!Unamkejeli lakini mwenzako amepitia mateso makali sana. Behaviour aliyonayo imesababishwa na mateso aliyopata akikupigania wewe ambae hata kuandika nyuma ya keyboard huwezi.
Unaongea pumba, sauti ya wtz kitu gani, vyama gani vya kuungana navyo, chadema haitaji eti ungana na vyama mfu, au vikundi vya kihuni visivyotambua kwamba chadema ni taasis, ilipofikia chadema inaouwezo wa kuiondoa ccm hata saa 6 mchana mbali, mpaka ccm kuiba uchaguzi wote 2020 unafikili waliogopa nini,CHADEMA kashindwa kuiondoa CCM peke yake na hataweza,ni lazima aunganishe nguvu na vyama vingine pamoja na majukwaa kama sauti ya Watanzania.
Kama Sauti ya Watanzania waliweza kuitisha serikali mpaka akina Dkt.Slaa wakakamatwa maana yake wana ushawishi na nguvu.
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app