Mbeya ina watu jasiri na wenye uthubutu. Ni wakati wa kuanzisha chama cha siasa kuongeza upinzani

Mbeya ina watu jasiri na wenye uthubutu. Ni wakati wa kuanzisha chama cha siasa kuongeza upinzani

Ila kweli, Mbeya wanaujasiri sana. Walitakiwa wakae na watu wa Mara, alafu wafuate watu Arusha, nchi ingekuwa pazuri. Ni suala la kujitambua tu.
Duniani kote hayo hayapo....

Taifa ni mkusanyiko wa raia wa hulka tofauti..... RAINBOW [emoji120]

Siempre El Commandante JKN....

Bila ya yeye taifa lingeshapotea kupitia UDINI , UKABILA NA UKANDA.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Majibu yako yanapingana na mada yako.
Mada ilikuwa Mbeya waanzishe chama Chao cha siasa Sasa kwanini unawatenga wanambeya wengine kuwaita wanaccm wakati wote wanaotoka Mbeya.
Hata kwa waisrael wanaosifika kwa kuwa na akili nyingi, wapo machizi.

Ni hivyo hata kwa Mbeya, inasifika kwa kuwa na watu wenye uthubutu na ujasiri lakini pia wapo waoga, wachumia tumbo na machawa.
 
CHADEMA = Chaga Development Manifesto.

Watu wa Mbeya chao wakiite MBEDEMA i.e MBEYA DEVELOPMENT MANIFESTO.

Watu wa Mbeya ni wakabila sana. Msisahau Mwaikambo

So wakianzisha chama chao then everything will be Mbeyalized. Na wakichukua nchi ndio itakuwa hatari zaidi.

Kwenye maombi ya kazi it will be like " The applicant must be fluent in English, Kiswahili and Kinyakyusa".
 
Hao wote ni watu wa hisia, Hakuna kiongozi hapo, ni kelele tu za IGA, usifananishe Chadema na mambo ya ajabu.
Hapo ndiyo CHADEMA inafeli,kudhani inaweza kuiondoa CCM peke yake.Vyama Dola vya Uhuru nchi nyingi Afrika viliondolewa kupitia Political Alliances,nenda Kenya kuing'oa KANU walitumia alliance ya NARC nk.
CCM kuiondoa siyo kazi rahisi kama Wapinzani hawataacha siasa za umimi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndo unaweza kuona ni kwa namna gani nchii bado ipo na vilaza sana , yani badala ya kufikilia namna ya kuunganisha nguvu katika vyama vilivyopo , unawaza tu kuongeza utitiri wa vyama ambao umekua hauna tija miaka yote ,

Aya ndo mawazo wenda mnachukua huko sijui sauti ya watanzania, kwa ushauri sijui wa yule babu yenu,

Kwa sasa chadema ilipofika hata vingeundwa vyama 30 vipya kile chama ,hakiko huko .

Anzisheni ata kesho,
CHADEMA kashindwa kuiondoa CCM peke yake na hataweza,ni lazima aunganishe nguvu na vyama vingine pamoja na majukwaa kama sauti ya Watanzania.
Kama Sauti ya Watanzania waliweza kuitisha serikali mpaka akina Dkt.Slaa wakakamatwa maana yake wana ushawishi na nguvu.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
CHADEMA = Chaga Development Manifesto.

Watu wa Mbeya chao wakiite MBEDEMA i.e MBEYA DEVELOPMENT MANIFESTO.

Watu wa Mbeya ni wakabila sana. Msisahau Mwaikambo alicho kifanya pale NSSF.

So wakianzisha chama chao then everything will be Mbeyalized. Na wakichukua nchi ndio itakuwa hatari zaidi.

Kwenye maombi ya kazi it will be like " The applicant must be fluent in English, Kiswahili and Kinyakyusa".
Acha ufala,Mwaikambo alikuwa Shirika la Bima.
Ukabila makazini upo kwa kila Kabila na si Wanyakyusa tu.
CRDB Ndugu Kimei aliupiga mwingi tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kusajiliwa chama cha kikabila haiwezekani. Wajiunge na vilivyopo vinatosha sana kuwawakilisha
 
Unamkejeli lakini mwenzako amepitia mateso makali sana. Behaviour aliyonayo imesababishwa na mateso aliyopata akikupigania wewe ambae hata kuandika nyuma ya keyboard huwezi.
Yaani mie nipiganiwe na mdudu? Pls tengua kauli na uombe radhi yaani mtu timamu kama mimi ni wa kupiganiwa na mdudu kweli? Mbona umeamua kunitukana matusi ya nguoni!!
 
CHADEMA kashindwa kuiondoa CCM peke yake na hataweza,ni lazima aunganishe nguvu na vyama vingine pamoja na majukwaa kama sauti ya Watanzania.
Kama Sauti ya Watanzania waliweza kuitisha serikali mpaka akina Dkt.Slaa wakakamatwa maana yake wana ushawishi na nguvu.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Unaongea pumba, sauti ya wtz kitu gani, vyama gani vya kuungana navyo, chadema haitaji eti ungana na vyama mfu, au vikundi vya kihuni visivyotambua kwamba chadema ni taasis, ilipofikia chadema inaouwezo wa kuiondoa ccm hata saa 6 mchana mbali, mpaka ccm kuiba uchaguzi wote 2020 unafikili waliogopa nini,

Iyo sauti ya watanzania imevamiwa na watu wapumbavu ambao wanaamini shida yao ni chadema wala sio ccm, hata nini wanapigania hakijulikani, tupa kule takataka kabisa
 
Back
Top Bottom