Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Huko motoni KATILI anachomwa .....ni moto wa volcano.......
 
Msianze kubetua mabega huyo kijana anapaswa apewe elimu nzito aache tabia zake za matusi.

Akirudia tena imekula kwake mazima.
 
Sasa hapo umma umehusikaje?

Hoja ni ushahidi kukosekana hakuna cha nguvu ya Mungu wala ya umma.
Ushahidi umekosekana vipi na polisi walidai wamemkamata live na kitu cha kwa Pele, au sasa ndiyo wamepima wakagundua ni glucose?
 
Atakuwa na adabu sasa!

Hutaona tena yale matusi aliyokuwa anataukana!

Kwa muda aliaokaa ameshanyooka kama rula
Mtu kama wewe ungekuwa zile enzi za kutafuta Uhuru na kina Mwalimu Nyerere tungetawaliwa mpaka leo.
 
UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Adabu anaishika na ma wako mpumbavu wewe
 
Magufuli lazima awe kuni za kuchoma washenzi wenzake huko aliko
Mdude hutamuona akitukana watu hovyo tena!
.

Hata wewe hapa ukileta lugha zako za kikwenu lazima mods wakushughulikie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…