Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya


Unaonaje wakiiga roho hiyo ya upendo kuipigania nchi dhidi ya wadhalimu wote?
 
CCM ni wanafiki na waoga, hawawezi kufanya hivyo! Wenyewe wanajali matumbo yao tu! Kuna yule kijana wa UVCCM Mara alijaribu hilo, mikwara aliyopigwa now katulia kimyaa.

CCM mara nyingi wanaangalia upepo wa Rais na Mkiti unaenda vipi then nao wanasonga nao. Hushangai mzee wa Msoga anavyopata wageni kila siku hizi siku za karibuni?
 
Huwezi ukafananisha Udhalimu na Uanaharakati.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi akipitia yale matusi kwenye account yake atakuwa anajuta sana!

Sasa hivi ni full adabu
Mama anazidi kufuta legacy ya lile jambazi
 
Reactions: Qwy
UTASUBIRI SANA muh8ini yule kishashika adabu mwambie aende akashitaki sasa kama atakukubalia sasahivi kila mtu hata mtoto atamuamkia mpuuzi yule
Roho inakuuma sana Mdude kuachiwa huru eeh? Mlivyozoea kuonea watu, sasa hivi haki inatendeka roho zinawachomoka!! Agents wa Shetani kabisa!!!
 
Tuliwaambia ni kesi fake mkawa mnapiga kelele kwamba tunaingilia Uhuru wa mahakama

Ila jiwe uko alipo malaika waongeze magogo na kukoleza moto aungue milele kabisa
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
We hujielewi kabisa! Issue wala sio CCM au CHADEMA. Kama haki inatendeka ndani ya jamii hata CCM ikitawala milele hakuna tatizo.
 
Reactions: Qwy
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…