mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
ohh msikini mataga pori mnatia huruma balaaa 🤣 🤣 🤣
Mnatia huruma nyie mnaojipa presha na maisha ya jirani wakati yenu yamedorora🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ohh msikini mataga pori mnatia huruma balaaa 🤣 🤣 🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio maana kila siku huwa nasema sasa tuko vizuri,?
Mambo ni super, hata Mbowe sasa atabatilisha lile wazo la kwamba hamtashiriki uchaguzi maana mambo ni bam bam, mbaya wenu hayupo!
Hata mdude hutaona akitukana mtu tena maana mambo ni safi sana!
Yalikuwa ni matusi pamoja na madawa ila kilichofanya afatiliwe hadi kugundulika ni madawa ni yale matusi,Kama ameachiwa baada ya kufanyiwa unyama na dhalimu, na uzuri dhalimu hayuko madarakani unataka amtukane nani? Halafu ukitaka kujua ww ni akili ndogo unalazimisha ni matusi, wakati kesi ilikuwa ni ya madawa ya kulevya. Tupe maelezo ya kesi iliyojadiliwa ili tujue kama unajua lolote.
Ushindani wa vyama na vyama ni uwepo wa sera, lakini ukiona mlevi wa madaraka anageuza ushindani ni uadui na uhasama, hapo ujue ni uhayawani tu. Mazingira mazuri ni pale uwanja wa mashindano unapojali misingi ya ushindani halali.
Yalikuwa ni matusi pamoja na madawa ila kilichofanya afatiliwe hadi kugundulika ni madawa ni yale matusi,
Mkuu dhakimu wako kafa! Mambo ni super! Mi 10 tena kwa mother!
2025 mtateleza tu kwenda ikulu! Si dhalimu wenu aliekuwa anawazuia kafa?
Yalikuwa ni matusi pamoja na madawa ila kilichofanya afatiliwe hadi kugundulika ni madawa ni yale matusi,
Mkuu dhakimu wako kafa! Mambo ni super! Mi 10 tena kwa mother!
2025 mtateleza tu kwenda ikulu! Si dhalimu wenu aliekuwa anawazuia kafa?
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA ambaye alitumia muda mwingi kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati John Magufuli. Mdude anajitambulisha kama mpiganiaji uhuru wa kujieleza na uhuru wa kuwepo mdahalo wa kisiasa.
Pia soma
- Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi
Awamu zote zinazoongozwa na Waislamu zinakuaga saafi Sana na Zina furaha Sana sijajua kwa Nini yaaani. Kwani huko makanisani huwa mnafundishwa kitu gani
Hivi huwa wanajisikiaje wanapotesa watu bila sababu....
Daaah, wakati mwingine ni kheri mtu mmoja kufa ili wengi wapone-tazama bwana yule aliamua kuua wengi kwa kuwafunga, watia vilema na hata kuwaua moja kwa moja ili nafsi yake tu ifurahi; na sasa hatuko nae.
Mahakama zetu, vyombo vya ulinzi na usalama, tukae chini kujitathmini ili kuona kama tunatenda na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria, haki na utawala bora au kuna mtu anaendesha vyombo hivi kwa manufaa yake tu na vyombo husika vinaingia mkenge.
Haingii akili mtu aliyekamatwa na madawa anaachiwa huru-nini kama si kuwa alisingiziwa na yombo ndio viliingia mkenge, kama haukusingiziwa kwa nini aachiwe huru? Je, ameachiwa kwa shinikizo? Na kama ni shinikizo basi kuna chombo hakiko huru.
Tujenge taasisi imara kwa manufaa ya watanzania, Tanzania ni yetu sote na hatuna mbadala wa nchi yetu-tukienda kwingine tutaitwa wakimbizi/wahamiaji milele.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Sasa mahakama za ccm si ndio hizo zimeona ziachane nae baada ya kuona hana ishu tena?Kesi imeendeshwa kwenye hizo mahakama za ccm, ungeenda kutoa ushahidi wa hayo madawa, ama ungefungua kesi ya matusi.
Kuhusu uchaguzi, kwenda ikulu sio issue, bali issue unakwendaje.
Imepenya kwa mdude ujeuri wote kwishahakika sindano imepenya
Imepenya kwa mdude ujeuri wote kwisha
Kama haki itaendelea kutendeka sidhani kama kutakuwa na ubaya wowote ule, maana sisi Wananchi tunahitaji Kiongozi mwenye kuongoza watu kwa kufuata maandiko ya MWENYEZI MUNGU sio viongozi makatili kama alivyokuwa jiwe.Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
Ccm itaendelea kupeta
Pongezi kwake...
Ila sasa akitaka kukosoa akosoe kwa staha
Ova
Chukua bia mkuu ntalipa. NamanishaWrite your reply. Samia anazidi kuchafua legacy ya Magufuli ili kuwafurahisha majambazi Chadema