Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

Mbeya: Mdude Nyagali aachiwa huru na Mahakama baada kutotiwa hatiani katika kesi ya kusafirisha dawa za kulevya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio maana kila siku huwa nasema sasa tuko vizuri,?

Mambo ni super, hata Mbowe sasa atabatilisha lile wazo la kwamba hamtashiriki uchaguzi maana mambo ni bam bam, mbaya wenu hayupo!

Hata mdude hutaona akitukana mtu tena maana mambo ni safi sana!

Kama ameachiwa baada ya kufanyiwa unyama na dhalimu, na uzuri dhalimu hayuko madarakani unataka amtukane nani? Halafu ukitaka kujua ww ni akili ndogo unalazimisha ni matusi, wakati kesi ilikuwa ni ya madawa ya kulevya. Tupe maelezo ya kesi iliyojadiliwa ili tujue kama unajua lolote.

Ushindani wa vyama na vyama ni uwepo wa sera, lakini ukiona mlevi wa madaraka anageuza ushindani ni uadui na uhasama, hapo ujue ni uhayawani tu. Mazingira mazuri ni pale uwanja wa mashindano unapojali misingi ya ushindani halali.
 
Yalikuwa ni matusi pamoja na madawa ila kilichofanya afatiliwe hadi kugundulika ni madawa ni yale matusi,

Mkuu dhakimu wako kafa! Mambo ni super! Mi 10 tena kwa mother!

2025 mtateleza tu kwenda ikulu! Si dhalimu wenu aliekuwa anawazuia kafa?
 
hakika sindano imepenya

Kesi imeendeshwa kwenye hizo mahakama za ccm, ungeenda kutoa ushahidi wa hayo madawa, ama ungefungua kesi ya matusi.

Kuhusu uchaguzi, kwenda ikulu sio issue, bali issue unakwendaje.
 
Jambo muhimu ni kumshukuru Yule aletae na atwaae kiumbe chake, mdude nae abamshukuru sana Creator
 
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.

Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.

Mdude ni Mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA ambaye alitumia muda mwingi kuikosoa Serikali ya Awamu ya Tano iliyokuwa ikiongozwa na Hayati John Magufuli. Mdude anajitambulisha kama mpiganiaji uhuru wa kujieleza na uhuru wa kuwepo mdahalo wa kisiasa.

Pia soma
- Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Heri kumtumikia Mungu,kutumikia waraka wa shetani haufiki mbali. Hawa chawa wa mwendazake wataaibika na kuisha wote,it's a matter of time...very short time.
 
Hao Polisi wakamatwe wahojiwe hayo madawa waliyomwekea waliyapata wapi haiwezekani jeshi la Polisi liwe na kashfa Kama hiyo huo uhuni wa kubambikia watu kesi za madawa halafu hayo madawa muhusika hakua nayo Nina mashaka juu ya Hilo

# kamanda Siro
 
Unamaanisha hukumbuki ya Dr. Ulimboka, Absolom Kibanda na Mwangosi yalitokea awamu ipi?!
Awamu zote zinazoongozwa na Waislamu zinakuaga saafi Sana na Zina furaha Sana sijajua kwa Nini yaaani. Kwani huko makanisani huwa mnafundishwa kitu gani
 
Mwenyezi Mungu anapoamuwa jambo basi hakuna wa kupingana naye, nadhani unapoamuwa kumfanyia mtu ubaya basi kumbuka na kesho yako. Je wale waliombambikizia/waliomtengenezea hii kesi leo nafsi zao ziko upande upi? Karibu uraiani Mdude Nyagali A.K.A Sumu ya nyigu.
 
Bila katiba mpya ipo siku atakuja jiwe mwingine na atadumu muda mrefu sana.
Itakuwa kilio mara mbili.
Daaah, wakati mwingine ni kheri mtu mmoja kufa ili wengi wapone-tazama bwana yule aliamua kuua wengi kwa kuwafunga, watia vilema na hata kuwaua moja kwa moja ili nafsi yake tu ifurahi; na sasa hatuko nae.
Mahakama zetu, vyombo vya ulinzi na usalama, tukae chini kujitathmini ili kuona kama tunatenda na kufanya kazi kwa mujibu wa sheria, haki na utawala bora au kuna mtu anaendesha vyombo hivi kwa manufaa yake tu na vyombo husika vinaingia mkenge.
Haingii akili mtu aliyekamatwa na madawa anaachiwa huru-nini kama si kuwa alisingiziwa na yombo ndio viliingia mkenge, kama haukusingiziwa kwa nini aachiwe huru? Je, ameachiwa kwa shinikizo? Na kama ni shinikizo basi kuna chombo hakiko huru.
Tujenge taasisi imara kwa manufaa ya watanzania, Tanzania ni yetu sote na hatuna mbadala wa nchi yetu-tukienda kwingine tutaitwa wakimbizi/wahamiaji milele.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Kesi imeendeshwa kwenye hizo mahakama za ccm, ungeenda kutoa ushahidi wa hayo madawa, ama ungefungua kesi ya matusi.

Kuhusu uchaguzi, kwenda ikulu sio issue, bali issue unakwendaje.
Sasa mahakama za ccm si ndio hizo zimeona ziachane nae baada ya kuona hana ishu tena?
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
Kama haki itaendelea kutendeka sidhani kama kutakuwa na ubaya wowote ule, maana sisi Wananchi tunahitaji Kiongozi mwenye kuongoza watu kwa kufuata maandiko ya MWENYEZI MUNGU sio viongozi makatili kama alivyokuwa jiwe.
 
Mama Samiah Suluhu Hassan, kama ungenielewa na kunikubalia ningekwambia Polisi yupi unaweza kumpa nafasi akalisafisha jeshi zima na huyu si mwingine bali Dr. Mussa Ali Mussa, huyu mzee ni muumini wa taaluma sio mtu was maslahi kama wengine wengi waliomo ndani ya jeshi hilo wanaotia aibu kila siku.
Sasa kesi kama hii aibu yake ni ya kiasi gani kwa jeshi liliweka taaluma pembeni na kukubali kutumiwa?!
 
Na asipokosoa kwa staha(kama hiyo staha inajulikana inaanzia wapi na inaishia wapi) haki itendeke pia.
Pongezi kwake...

Ila sasa akitaka kukosoa akosoe kwa staha

Ova
 
Back
Top Bottom