Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
hahah sisi mabingwa wa shida tumeshazoeya misuko-suko nyie mmezoeya kudekezwa na mwendazake.Mnatia huruma nyie mnaojipa presha na maisha ya jirani wakati yenu yamedorora🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah sisi mabingwa wa shida tumeshazoeya misuko-suko nyie mmezoeya kudekezwa na mwendazake.Mnatia huruma nyie mnaojipa presha na maisha ya jirani wakati yenu yamedorora🤣🤣🤣
Hapana ni zamu ya nyagaliNenda kasujudie lile kabur zamu yako ya kulnda imefka
Hapana ni zamu ya nyagali
Nyumbu atabaki kuwa nyumbaHahaaa!!!!hakika mataga atabak kuwa mataga
Hapa Pana point panahitaji mjadala mpanaAwamu zote zinazoongozwa na Waislamu zinakuaga saafi Sana na Zina furaha Sana sijajua kwa Nini yaaani. Kwani huko makanisani huwa mnafundishwa kitu gani
Kwenu nyie tofauti ya mawazo mnaona yafaa kulipwa wa mateso na chuki hivyo siwezi kukushangaa Sana,Mataga.Mkuu mdude hutaona akitukana tena
Sasa mahakama za ccm si ndio hizo zimeona ziachane nae baada ya kuona hana ishu tena?
Exactly, maana i wazi kuwa mtu (rais) ana nguvu kuliko vyombo vyote vinavyoifanya nchi iitwe taifa hivyo kama atakuwa na akili kama za jiwe au Kim Jong ill raia ndio wanaomia.Bila katiba mpya ipo siku atakuja jiwe mwingine na atadumu muda mrefu sana.
Itakuwa kilio mara mbili.
Si ndio maana huwa nakwambia sasa tuko vizuri? Mambo ni super.Wapi ww, dhalimu ndio alikuwa anaendesha siasa za kidhalimu, na sasa hayupo haki imerejea nchini.
hahah sisi mabingwa wa shida tumeshazoeya misuko-suko nyie mmezoeya kudekezwa na mwendazake.
Ni wakati wa kusamehe, kusahau na kusonga mbele ndugu yangu.Natoa wito huu kwa Serikali ya awamu ya 6, kwamba wote walioshiriki kumtesa Mdude ambao bila shaka wanafahamika , wakamatwe haraka sana na kushitakiwa Mahakamani
Ni muhimu sana kwa Chalamila na kundi lake akiwemo RPC wa Songwe na RPC wa Mbeya , Biswalo Mganga (mnyororo ni mrefu) wakamatwe na kushitakiwa ili kuimarisha utawala wa sheria nchini Tanzania, ni muhimu watu hawa kukamatwa ili kuepusha wananchi kujichukulia sheria mkononi kwa lengo la kulipa kisasi.
Si ndio maana huwa nakwambia sasa tuko vizuri? Mambo ni super.
Haki kila kona,! Hata 2025 mnaenda ikulu kama kimbunga maana aliekuwa anawanyima haki hiyo kafariki!
Makofi kwa mama tafadhaliiiii
Sasa si ndio yapo sasa hivi baada ya aliekuwa anayazuia kufariki?Kwenda ikulu sio lazima, bali tunaongelea mazingira sahihi na ya haki ya kwenda ikulu. Somo ndio hilo dogo.
Mkuu nani alikuwa jeuri sasa? Kinana au Makamba?Kumfundisha mtoto mjeuri adabu siyo chuki
.Sasa si ndio yapo sasa hivi baada ya aliekuwa anayazuia kufariki?
Mwalimu sisi ndiyo tumemsindikiza kupanda ndege kwenda kuongea na mabeberu kuhusu nyie kupata uhuru.Sisi tupo tangu enzi za mwalimu sio nyie wa miezi mitatu ya kampeni za Tundu
Nasikia malipo ya buku saba yamesitishwa Lumumba, wewe unalipwa na nani kwa kazi hii ya kujitoa ufahamu?Sasa mahakama za ccm si ndio hizo zimeona ziachane nae baada ya kuona hana ishu tena?
Kabisa mkuu.. Hasa ukizingatia dhalimu wako kafariki.
Huna jipya ww.
Kwani haya malipo si mlisemaga yamesitishwa na mwenda zake? Au yalirudi tena?Nasikia malipo ya buku saba yamesitishwa Lumumba, wewe unalipwa na nani kwa kazi hii ya kujitoa ufahamu?
Sent using Jamii Forums mobile app