Uchaguzi 2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

Sijuagi hata kwanini Tulia amechagua kugombea mbeya mjini, wakati wilaya ya Rungwe ina majimbo matatu angeweza kwenda kupita kirahisi tu. Hata hivyo hajachelewa anaweza akaghairi na kugombea hata huko busokelo.

Mbeya mjini ukishawashawishi tu vijana unapita maana hata kura za wamama wa mbeya ni za mkumbo zinapigwa kutokana na vijana wao wanataka nini hasa vijana wa kiume. Wamama wa mbeya wanapenda kuwafurahisha watoto wao kwenye kura hili nimelishuhudia binafsi.

Tulia atapata kura za wanaume watu wazima au wamama kwenye affiliation na CCM
 
Akawasidie lumumba wenzake sisi wana Mbeya tunajua wajibu wetu.
Kuna mkuu wa mkoa alikaa hapo Mbeya alisema watu wa huko hawajielewi elewi, wanajenga nyumba hata kuku anaweza piga teke na ikaanguka, ndo kiasi cha kujielewa hicho.
Mbele shati safi nyuma Mko uchi makalio nje.
 
Sugu asichukulie Poa hili Jimbo la Mbeya litamponyoka Mambo sio marahisi Kama 2015. Ni tahira tu anayeweza kusema Sugu atashinda kwa asilimia
Unachezea Sharubu za MVMP? Betina hawezi kupambana na RAIS WA MBEYA!! Misa ya Kwanza kabla kuisha BETINA anatemeshwa KIAZI CHA MOTO.
 
Kuna mkuu wa mkoa alikaa hapo Mbeya alisema watu wa huko hawajielewi elewi, wanajenga nyumba hata kuku anaweza piga teke na ikaanguka, ndo kiasi cha kujielewa hicho.
Mbele shati safi nyuma Mko uchi makalio nje.
Ni kuna ukweli fulani hivi.
Watu wa huku kwetu ni kula na kushiba tu.
Maendeleo mkoani na hata Mbeya mjini ni ya kusikitisha.
 
Hata sugu akishinda wataiba kura , kwakuwa wanaohesabu kura na kutangaza matokeo ni wajumbe wa ccm
 
Hayo yako maana sasa naona umeamua kutukashifu na kututukana wana mbeya, kisa itikadi!

Pole sana kwa kutojitambua, ila ukweli unabakia pale pale kuwa wana mbeya tutamchagua mh Sugu.
Kuna mkuu wa mkoa alikaa hapo Mbeya alisema watu wa huko hawajielewi elewi, wanajenga nyumba hata kuku anaweza piga teke na ikaanguka, ndo kiasi cha kujielewa hicho.
Mbele shati safi nyuma Mko uchi makalio nje.
 
Hayo yako maana sasa naona umeamua kutukashifu na kututukana wana mbeya, kisa itikadi!

Pole sana kwa kutojitambua, ila ukweli unabakia pale pale kuwa wana mbeya tutamchagua mh Sugu.
Chagueni watu wenye vision mkuu.
 
Sijuagi hata kwanini Tulia amechagua kugombea mbeya mjini, wakati wilaya ya Rungwe ina majimbo matatu angeweza kwenda kupita kirahisi tu. Hata hivyo hajachelewa anaweza akaghairi na kugombea hata huko busokelo.

Mbeya mjini ukishawashawishi tu vijana unapita maana hata kura za wamama wa mbeya ni za mkumbo zinapigwa kutokana na vijana wao wanataka nini hasa vijana wa kiume. Wamama wa mbeya wanapenda kuwafurahisha watoto wao kwenye kura hili nimelishuhudia binafsi.

Tulia atapata kura za wanaume watu wazima au wamama kwenye affiliation na CCM
Rungwe kuna majimbo mawili tu Mdau, Rungwe masharik na magharibi
 
Ni kuna ukweli fulani hivi.
Watu wa huku kwetu ni kula na kushiba tu.
Maendeleo mkoani na hata Mbeya mjini ni ya kusikitisha.
Siasa ni maendeleo sio ushabiki wa mtu.
Mkuu wa mkoa mwingine aliwahi kusema Mbeya ni kijiji kikubwa tu.
Village!
 
Tulia hawezi shida, tusubiri uone, Kwanza Sugu still anapendwa sana Mbeya, watu sasa hivi sio wajinga hivyo, yaani uje miezi michache uanze kuwapa maneno matamu au vitu vichache kisha upate ubunge labda wananchi wangekuwa hawamtaki Sugu, ni ngumu sana kushinda Mbeya. Ukweli uko hivyo.

Kuna Siri moja ambayo inawabeba wana Mbeya! Wanyakyusa Wana asili ya South Africa na kwa kawaida makabila yenye asili za kina Madiba Wana misimamo isiyoyumbs na huwa hawataki ubabaishaji wa CCM!
Kama ni CCM kushinda itabidi watumie MBINU CHAFU ZA WIZI WA KURA, POLICCM na TISS ili kumnusuru KIGAGULA TULIA TRUST! Lakini bado watakumbana na challenges Kali sana ! Tayari Sugu alishatoa angalizo kwa Kigagula Tulia....!!!CCM wakifanya ujinga Mbeya itawaka Moto!
 
Let us WAIT!!!!
 
Back
Top Bottom