Uchaguzi 2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

Uchaguzi 2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

Akawasidie lumumba wenzake sisi wana Mbeya tunajua wajibu wetu.
Ahsante mheshimiwa comrade Mmawia. Japo kwa jina hili sikutegemea ungepigia debe Mbeya a.k.a Moon Bay. Barikiwa sana
 
Usipotezwa na ID kwani siyo lazima ukialiwa musoma lazima uishi musoma, nipo hapa kabwe zaidi ya miaka 26 karibu hapa city pub upate hii kitu[emoji481].

Tuyajenge jinsi ya kumchagua mh Sugu maana kwa mbeya ccm ilisha futika kitambo
Ahsante mheshimiwa comrade Mmawia. Japo kwa jina hili sikutegemea ungepigia debe Mbeya a.k.a Moon Bay. Barikiwa sana
 
Unamlaumu vipi Sugu hajapeleka maendeleo Mbeya Mjini? mlimruhusu akusanye kodi?

Tulia kushinda Mbeya Mjini anahitaji kubebwa wazi wazi na Magufuli na polisi, vinginevyo hana chochote cha kumshinda Sugu.
Kama maendeleo yanapelekwa na wakusanya kodi,sugu anagombea ili awaimbie wananchi ama vipi!!!!
Hizi siasa za kipuuzi ndizo zinawapunguzia point hizi,ubunge ugombee wewe,maendeleo uahidi wewe,mwisho uje ujitetee hukuwa ukikusanya kodi.
 
Mkuu Sugu anawakusanya wajinga wenzke.
Hana cha kuahidi safari hii.
 
Back
Top Bottom