ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Bhali ghwa mbombo ghweeh!Imbombo jilipo mwarafyale ukumbeya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bhali ghwa mbombo ghweeh!Imbombo jilipo mwarafyale ukumbeya!
Rungwe kuna majimbo mawili tu Mdau, Rungwe masharik na magharibi
Prof..Mwandosya hakuwahi kuwa mbunge wa mbeya mjiniAlikuwepo Prof.Mwandosa ambaye amekuwa Mbunge na Waziri! Vipi kuna maendeleo gani aliyoleta mkoa wa Mbeya?
Ahsante mheshimiwa comrade Mmawia. Japo kwa jina hili sikutegemea ungepigia debe Mbeya a.k.a Moon Bay. Barikiwa sanaAkawasidie lumumba wenzake sisi wana Mbeya tunajua wajibu wetu.
Ahsante mheshimiwa comrade Mmawia. Japo kwa jina hili sikutegemea ungepigia debe Mbeya a.k.a Moon Bay. Barikiwa sana
Chadema mbeya tumewachoka,tunataka wengine awamu hii
Kama maendeleo yanapelekwa na wakusanya kodi,sugu anagombea ili awaimbie wananchi ama vipi!!!!Unamlaumu vipi Sugu hajapeleka maendeleo Mbeya Mjini? mlimruhusu akusanye kodi?
Tulia kushinda Mbeya Mjini anahitaji kubebwa wazi wazi na Magufuli na polisi, vinginevyo hana chochote cha kumshinda Sugu.
Mkuu Sugu anawakusanya wajinga wenzke.Kama maendeleo yanapelekwa na wakusanya kodi,sugu anagombea ili awaimbie wananchi ama vipi!!!!
Hizi siasa za kipuuzi ndizo zinawapunguzia point hizi,ubunge ugombee wewe,maendeleo uahidi wewe,mwisho uje ujitetee hukuwa ukikusanya kodi.
Mkuu watu wanasema umetumwa , au vipi.Membe ana kila kitu na sasa ndani ya ccm hakuna anaye lingana naye. Sisi wana ccm tunamuhitaji yeye atuvushe 2020