Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,237
Sijuagi hata kwanini Tulia amechagua kugombea mbeya mjini, wakati wilaya ya Rungwe ina majimbo matatu angeweza kwenda kupita kirahisi tu. Hata hivyo hajachelewa anaweza akaghairi na kugombea hata huko busokelo.
Mbeya mjini ukishawashawishi tu vijana unapita maana hata kura za wamama wa mbeya ni za mkumbo zinapigwa kutokana na vijana wao wanataka nini hasa vijana wa kiume. Wamama wa mbeya wanapenda kuwafurahisha watoto wao kwenye kura hili nimelishuhudia binafsi.
Tulia atapata kura za wanaume watu wazima au wamama kwenye affiliation na CCM