Uchaguzi 2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

Uchaguzi 2020 Mbeya Mjini kazi ipo kubwa

Mbeya msifanye kosa.
Mkitaka maendeleo n ni Dr Tulia tu.
Nimepita karibuni huko, barabara ya Igawa Tunduma ni hoi bin taaban.
Kamwelwe aliwahisema inafanyiwa mchakato lakini nakuna lololte.
Tunaoenda mipakani ni kero.
Sasa mchagueni Sugu mle hewa.
 
Watu wa Mbeya msirudi nyuma mmeshaonesha umma kuwa nyie ni watu imara na wapinzania wa siasa chafu za ccm. Mkirudia tena ccm tunawaondoa kati ya watu wa maana nchi hii.
Niliwahi kuishi mbeya wakati nasoma
Watu wakule wakotofauti sana. kwa caliber ya sugu atakama angegombea ubunge na lowasa au magufuli mbeya mjin sugu angeshinda mchana kweupe
 
Mbeya msifanye kosa.
Mkitaka maendeleo n ni Dr Tulia tu.
Nimepita karibuni huko, barabara ya Igawa Tunduma ni hoi bin taaban.
Kamwelwe aliwahisema inafanyiwa mchakato lakini nakuna lololte.
Tunaoenda mipakani ni kero.
Sasa mchagueni Sugu mle hewa.
Wewe mtu ngese lililobobea. Sugu ndio anakusanya kodi Mbeya? Mbona kulikuwa na Wabunge wengi tu kabla yake wa CCM na maprofessa walileta maendeleo? Wapi hasa Tanzania hii kwenye maendeleo twambie tupajuwe. Kwani hizo barabara zikijengwa wanapita watu wa Mbeya tu? Basi kawaambieni waru wa Zambia wajiandikishe basi jimbo la Mbeya wapate kujengewa barabara za kuelelea kwao? Musi transfer blames kwa wengine kwa kufeli kwenu. Sugu ain"t got shit to do with under development of Mbeya City. Kazi yake ni ku address malalamiko yao and he is.doing pretty good job. We all know that!

On the contrary, Tulia ain't give a shit about Mbeya. Target yake ni Uspika ama uwaziri tu. Na kila mtu anajuwa hili ukiwemo wewe mwenyewe. Wabunge wa CCM ni zaidi ya 2/3 bungeni. Unataka kutwambia 2/3 ya Tanzania imepata maendeleo. Ninavojuwa mimi kila mukiwa wapinzani basi serikali ndio hufanya jitihada za ziada ili kuwashawishi
 
Mbeya msifanye kosa.
Mkitaka maendeleo n ni Dr Tulia tu.
Nimepita karibuni huko, barabara ya Igawa Tunduma ni hoi bin taaban.
Kamwelwe aliwahisema inafanyiwa mchakato lakini nakuna lololte.
Tunaoenda mipakani ni kero.
Sasa mchagueni Sugu mle hewa.
Wananchi wa mbeya ni watu makini sana, mbeya ishawai kuwa na wabunge wengi sana kwene majimbo tofaut ambao waliukwaa uwaziri kama akina mwandosya,mwakyusa,mwakyemba lakin kasi ya maendeleo ni yakawaida sana...na wananchi wa mbeya wanalielewa hilo kuwa wenda serikali inafanya kusudi maana mbunge kazi yake ni kupiga mayowe tu bungeni hela inaletwa na serikali....watu wa mbeya wanalielewa sana na niwabishi
 
Mpaka sasa naona mzani upo 50 kwa 50 ...muda utatupa jibu
Ila mimi niko tofauti na mleta mada. Kama wana Mbeya mjini wata tumia akili wana takiwa wamrudishe Sugu. Tulia ana taka ubunge kwa manufaa yake binafsi na sio kwa maendeleo ya Wana Mbeya. Akiupata huo ubunge ana tamani kuwa spika wa bunge la Tanzania. Hivyo ana kwenda kuwa mtetezi wa serikali ya Ccm na siyo mtetezi wa wapiga kura.
Pili Tulia sio mkaazi wa Mbeya hajui shida za Wana Mbeya kama Sugu. Huyu mkimpa kura mta muona tena kipindi cha uchguzi. Tofauti na Sugu ambae mko nae kila siku.
Tulia mna muona kituko kula kwa mama Ntilie kwa maana ni mgeni kwenu. Sugu mko nae kila siku kila mahali. Hivyo hamshangai hata akiinama kwenye bomba na kunywa maji ambayo hayaja chemshwa.
Mna takiwa kufanya maamuzi sahihi na sio kufuata maigizo..
Angalieni jimbo la Ndugai. Ni kati ya majimbo ya hovyo Tanzania. Juu ya kwamba amekuwa kiongozi wa bunge miaka yake yote. Hadi wana Kongwa walimkataa mbele ya Mh rais.. Uta kuta jimboni kwake kabda ni yeye tuu mwenye maji, umeme, na nyumba ya tofali.
Angalia majimbo mengi ya mawaziri hakuna kitu, wako busy kuimba Ccm yajenga nchi. Hawajui shida za majimbo yao..
Hebu muulizeni huyo Tulia kwao ni wapi. Na akipata ubunge atakuwa ana ishi wapi?
 
Ndugai ni mbunge wa kongwa ushawai fika kongwa au ushawai fika majimbo mbalimbali ya mawaziri, magufuli aliwai kuwa waziri wa ujenzi hio aikufanya chato kuwa na lami na madaraja kila sehemu....
 
Wewe mtu ngese lililobobea. Sugu ndio anakusanya kodi Mbeya? Mbona kulikuwa na Wabunge wengi tu kabla yake wa CCM na maprofessa walileta maendeleo? Wapi hasa Tanzania hii kwenye maendeleo twambie tupajuwe. Kwani hizo barabara zikijengwa wanapita watu wa Mbeya tu? Basi kawaambieni waru wa Zambia wajiandikishe basi jimbo la Mbeya wapate kujengewa barabara za kuelelea kwao? Musi transfer blames kwa wengine kwa kufeli kwenu. Sugu ain"t got shit to do with under development of Mbeya City. Kazi yake ni ku address malalamiko yao and he is.doing petty good job. We all know that!

On the contrary, Tulia ain't give a shit about Mbeya. Target yake ni Uspika ama uwaziri tu. Na kila mtu anajuwa hili ukiwemo wewe mwenyewe. Wabunge wa CCM ni zaidi ya 2/3 bungeni. Unataka kutwambia 2/3 ya Tanzania imepata maendeleo. Ninavojuwa mimi kila mukiwa wapinzani basi serikali ndio hufanya kitihada za ziada ili kuwashawishi
Sugu (Joseph mbilinyi).Asibeze anayoambiwa na mleta Mada.Tulia anabebwa na vitu viwili.

Moja ni gia aliyoingia nayo hapo Mbeya mjini.Toka amepewa (sisemi amechaguliwa),amepewa unaibu speaker,amekuwa akijinadi Sana kwa wananchi, kwa kutoa misaada,kushiriki shughuli mbalimbali hapo jimboni,ambapo amefanikiwa kuwabadirisha baadhi ya wafuasi wake na kuwazoa wale hawakupenda Sugu kuchukua Jimbo.

Pili Tulia anabebwa na Dola ya CCM.Sugu mwenyewe anajua kwamba Tulia alipewa unaibu speaker kimkakati ili aje apewe Uspeker,

Ikumbukwe mwanzoni mwa utawala wa Magu na Ndugai alichokwa na serikali ya Magufuli,hii ilichagizwa na Ndugai mwenyewe kuonekana Mwiba kwa kutaka kubalance uendeshaji wa bunge Kwa kutoipendelea Serikali,hii iliikasirisha serikali ya Magu na kuona Ndugai si mtu wao na Kumleta Tulia ili aje kuwa mbadala wa Ndugai.Hivyo Sidhani kama Sugu atatokea mlango upi.Mheshimiwa Sugu jitafakari.
 
Twende na Membe 2020 wana ccm
Kijana acha papara. Membe anagombea urais kupitia act, na chadema watamuunga mkono sababu lissu atajitoa. Kujitoa sio makisudi bali ni mkakati.
Sisiemu membe asahau, hawezi gombea.
 
Nani kakupatia kazi ya kumchagulia mgombea chama cha kujiunga nacho? Membe ni mwana mwenzetu wa ccm
Kijana acha papara. Membe anagombea urais kupitia act, na chadema watamuunga mkono sababu lissu atajitoa. Kujitoa sio makisudi bali ni mkakati.
Sisiemu membe asahau, hawezi gombea.
 
Vijana hakuna kuchagua chama cha kizamani.Hata jirani zetu wanatushanga sana.
 
Binafsi naamini mbeya ilistahili kuwa mbele sana kimaendeleo na hata kimuonrkano! Kuna mahali kitu hakiko sawa kwa viongozi. Labda huyu mheshimiwa apewe jimbo miaka mitano kama atalisogeza maana ana konection na juu, anaweza badili mji maana hata sio jiji. Sugu kashindwa, alichoweza ni kuwafanya baadhi ya wanambeya kuwa rebellion basi!
shida awamu hii miladi mingi ya maendeleo imeenda kichama zaidi sugu asinge weza timiza ahadi zake nyingi
 
Back
Top Bottom