Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroine, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

Sawa lakini si kwa kutukana kama alivyokuwa anafanya huyo bavicha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inataka sana moyo kuwa Mtanzania. Imagine mtu alikamatwa kwa makosa ya mtandao halafu baadae mnaambiwa anashtakiwa kwa kukutwa na madawa ya kulevya.
 
Kwani Polisi ndio Mahakama Mkuu !? ..Huyo bado ni Mtuhumiwa ,au amesha hukumiwa !?..
Kwa hiyo hizo gram 23 alizokutwa nazo ni za unga wa mahindi,sio? Basi sawa.
 
Daaah Masikini yale matusi anayotukanaga waliokua wana like na Ku comment hawapo tena[emoji23][emoji23][emoji23] Ama kweli mchuma Janga hula na wakwao!
Hakujifunza kwa kabendera waliomshangilia mwanzo mwanzo kadri siku zilivyosogea alibaki mwenyewe, hata huyu Dogo itakuwa hv hv yuko mwenyewe

Sent using kidole gumba
 
Duh! Amebambikiwa dogo! Jamaa wana roho kutu sana. Huyu naye walikuwa wamuuwe kama Ben Saanane
Mungu wake bado ni Mwema,alimnusuru baada ya kutekwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi.

Zamu hii wamempelekea kitengo cha dawa za kulevya,ila matendo haya ya kishetani yanaitia DOA jekundu Amani ya Tanzania. Watu wanapambana na COVID-19,jamaa anapanga uovu dhidi ya ubinadamu?

Loh Nchi Yangu Tanzania, umepatwa na nini tunashindwa kuwanusuru watoto wetu wanaoteswa na majasusi?

Amani inaimbwa sana lakini practically hii nchi ni sawa na Afghanistan ya kina Osama bin Laden.
 
Kwa hiyo walipokuwa wanamteka na kumpiga na kumtupa porini walikuwa wanautafuta unga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…