Mwana kulitafuta mwana kulipata, kaka tuchati.Wamembambikia dogo. Mashetani kabisa hawa. Wamemuuwa Ben Saanane mchana kweupee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana kulitafuta mwana kulipata, kaka tuchati.Wamembambikia dogo. Mashetani kabisa hawa. Wamemuuwa Ben Saanane mchana kweupee
Kwanini wasiende kukamata wauzajiNdo hapo sasa wakati kamanda anasema nikosa kisheria kutumia madawa ya kulevya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini si kwa kutukana kama alivyokuwa anafanya huyo bavichaKila mtu angekuwa na mawazo kama yako dunia isingekuwa na mabadiliko yoyote. Kwenye kupigania haki ni lazima kuwe na sacrifice na wale wa mwanzoni wengi huuawa au kuumizwa na kufungwa kwa kesi za kubambikiwa. Hakuna sehemu mabadiliko yamekuja bila baadhi ya watu kuumia. Njia nzuri ni kwa waliobaki wenye kukerwa na ukandamizaji huu kupaza sauti na kusaidia kwa hali na mali. Leo umemuita fala lakini kumbuka utawala wa aina hii huwa na kawaida ya kunogewa na ukatili inaofanya. Pamoja na woga wako si ajabu kesho wewe au ndugu yako akajikuta ameathirika na huu ukatili bila hata kutegemea. Hata marehemu Akwilina alikuwa ''fala''?
First they came for the Communists And I did not speak out Because I was not a Communist
Then they came for the Socialists And I did not speak out
Because I was not a Socialist Then they came for the trade unionists
And I did not speak out Because I was not a trade unionist
Then they came for the Jews And I did not speak out
Because I was not a Jew Then they came for me
And there was no one left To speak out for me
huwezi pambana na dola na ukabaki salama.Hata wewe hauko salama ni swala la muda tu!!jifunze kwa wenzako wakina nape,nchambi,jauary makamba,makamba Senior,membe!!wakitumaliza watahamia kwenu wenyewe kwa wenyewe dictator hana rafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhakika gani unaotaka, polisi unaona hawana ushahidi paka kesi imefika mahakamani?
Kwa hiyo anauza unga gm23?!Amekamatwa na unga... Kuna serikali inatetea wauza unga? (Madawa ya kulevya?)
Sent using Jamii Forums mobile app
hata wakiuza mashamba atoki mpaka aombe msamaha na aape atorudia tena kukwazana na serikali halali iliyochaguliwa na wanchi wapenda maendeleo, amani na utulivu.Nawashauri wazazi wamwache akae jela wasihangaike kuuza mashamba kuhangaika na kichaa
Ikiwa habari kuu BBC ndio atatoka?Najua hii leo itakuwa habari kuu BBC
Kwa hiyo hizo gram 23 alizokutwa nazo ni za unga wa mahindi,sio? Basi sawa.Kwani Polisi ndio Mahakama Mkuu !? ..Huyo bado ni Mtuhumiwa ,au amesha hukumiwa !?..
Hakujifunza kwa kabendera waliomshangilia mwanzo mwanzo kadri siku zilivyosogea alibaki mwenyewe, hata huyu Dogo itakuwa hv hv yuko mwenyeweDaaah Masikini yale matusi anayotukanaga waliokua wana like na Ku comment hawapo tena[emoji23][emoji23][emoji23] Ama kweli mchuma Janga hula na wakwao!
Mungu wake bado ni Mwema,alimnusuru baada ya kutekwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi.Duh! Amebambikiwa dogo! Jamaa wana roho kutu sana. Huyu naye walikuwa wamuuwe kama Ben Saanane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo kijana mlimtoa sadaka, mulijua fika kua anaenda kusiko lakini hata kumshauri mlishindwa. CHADEMA imekaa kihuni huni tu, ona sasa hata mbowe kukemea ameshindwa.Hivi kosa la kutukana ni kubambikiwa heroin gramm 23 ndio sheria inavyosema?
Fanya basi siasa unayoitaka wewe. Mbona hujaguswa bado?Maisha gani ambayo siasa haitonigusa??ni swala la muda tu,shetani hana rafiki wakudumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huyu si amepona vifo mara 2 baada ya kutekwa na kutupwa wakijua wanatupa maiti.Wamembambikia dogo. Mashetani kabisa hawa. Wamemuuwa Ben Saanane mchana kweupee