Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

zamani nilikiwa nashangaa sana mbaba kuwa na kamwanamke nje ya ndoa.ila baada ya kukua sasa naelewa.

jamani jamani chonde chonde wanaume,kuwa na mwanamke nje sio option ni kama kufunga gari mabawa ya kurukia.litatembea na matairi ila likitokea jambo lolote ktk matairi ni rahisi sana kujitetea.

wanawake kwa sasa wanasoma,wana uchumi imara,wana exposure,wanapewa elimu mbali mbali tunazoita za kujitambua,jumlisha na mitandao ndio kabisa inawachanua,sababu si viumbe walioumbwa kwa ajiri ya hayo jamii yao inaharibika kwa kasi,wanapoteza utii kwa wanaume,wanaongeza kujiamini,wanakuwa na viburi nk.
tukiwa tunawaoa kama wasaidizi,wao wanatuona kama washkaji tu ambao tumeweka nao mkataba kisheria wa kuishi nao pamoja.

mwanamke ni kiumbe ambaye hastahili kuonewa huruma katika mapenzi,yeye hapendi anatiii.kama unadhani ataumia kusikia una mchepuko kama ambavyo wewe utaumia ukisikia kwake bro unapotea.mwanamke hamhesabii kosa mumewe malaya bali wanawake wenzie wanaotoka na mumewe.

wanaume wote duniani tunachepuka kwa mujibu wa kamusi zao wanawake,sasa kama wewe huchepuki subiri siku moja atakuonyesha sababu za wewe kwanini untakiwa uchepuke ,na hawajisikiii kukaa na mwanaume ambaye ni kama mtungi wa gesi mpaka usogezwe.
siku ukija kujua na ukathibitisha anatoka nje,fukuza bila kumsikiliza akitafuta usawa baada ya wews kutangulia kutoka nje,NB ujasiri wa kufukuza ni pale tu unapokuwa na wanawake wengine nje.

tutakwisha kama tutaendelea kujifanya ma nice guy.
 
Sheria za ndoa zibadilishwa hasa upande wa imani za kidini….ni nadra sana kukuta matukio kama haya ukanda wa pwani
 
Sasa sijui kwanin walihusisha na watoto
 
Ok wote mmeongea kwa hisia bila kuwajua kwa undani na wengi mmemuhukumu mwanamke.. ila kama unawafahamu vizuri utajua vizuri..watu wa kiwira wanawafahamu vizuri hawa wanandoa.. Mume anahistoria ya kumpiga sana mke mpaka kutoroka kurudi kwao na kazi kuacha..ila ilikua ni hali ya kuacha watoto tu nyumbani mama kurudi hakumaliza mwezi..jamaa pia si raia wa Tanzania ni raia wa nchi jirani kusini.. historia ya migogoro yao chanzo ni vipigo na mateso kwa mama watoto alipoamua ku move on mama wawatu alkua na huruma na wanae kurudi ndio ikawa over
 
Kijana huyo anasema walivyofika walipata harufu kutoka ndani ya nyumba hiyo, walipoenda polisi walipewa ruhusa ya kuvunja mlango na kukutana na jambo hilo la kutisha.
Hawakuona haja kufika kwenye tukio
 
Ni kama kuna zimwi la msimu la mauaji vile

 
Mwanamke alikuwa kisu haswa. Wapumzike kwa amani, ingawa wameacha maumivu makali kwa ndugu zao.
 
Mnavyoandika humu vitu vya kubuni muwe mnafikiria mbali..ndugu wa marehemu tupo na tunaona kabisa mnavyotunga story kwa manufaa ya nani sasa
 
Hahahaaaaaaaaa,mzigo+mzigo=!???

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Jamaa ni mpole Yani ulikua mpaka akuchape basi mmemuuzi sana na akitoa adhabu anatoa adhabu ya jumla Kwa wote na hiyo siku mtachapika mpaka siku utaiona chungu
 
unazaa mtoto wa kike. unamlea. anaenda kuolewa na jinga kama hili anauliwa kikatili namna hii. inaumiza sana.
Hapo kwenye kumlea sasa,ukimlea akiwa na janjajanja ya kuchepuka,muase awe singo madha,atakua salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…