Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kesi za wanawake ngumu sana kuziamua... usikute hapo mwalimu na wanafunzi walianza kusutana baada ya wote kuwa emotional. Mwanamke akiamua kuwa katili huwa ni hatari ya kifo. Ninamshauri huyo mwalimu apunguze unoko kufuatilia fuatilia wanafunzi. Hata sisi tukiwa O - level kuna mwalimu alikuwa akija kila siku saa 11 alfajiri na kiboko kutuamsha.. akifungua tu mlango anakimbilia kuwasha taa huku kashika kiboko na kukimbilia kutucharaza viboko. Yaani kwenye kuwasha taa na kuanza kutuchapa ni kitendo cha kufumba na kufumbua. Mkono mmoja umeshika swichi mwingine umeshaanza kuchapa... baada ya kutafakari kwa kina tukaona tuifungue swichi na kuacha zile nyaya wazi. Kesho yake mwalimu kaja kama kawaida na spidi zake kilichomkuta hatakaa asahau hata kwenye maisha baada ya kifo. Na sisi pia kilichotukuta kwa wiki nzima hatutakaa tusahau.
Kabisaa kabisaaNi kweli wanafunzi ni watukutu ila adhabu ziangalie utu wa wanafunzi,
Adhabu nyingi zinazotolewa zinakiuka hadi za binadamu.
Huyo ni Mimi,km mzazi wako kashindwa kukunyoosha baasi Mimi siwezi poteza mda,Siku hizi mitandao ndo mahakama zetuWamuache Ila apewe onyo matoto ya watu akae nayo mbali fundisha maliza sepa usianze kuleta malezi unawafanya watoto wa kwako yatakutokea puani siku hizi mtoto wa mtu sio wako we mpe elimu akachukua sawa asipochukua basi atafundishwa kwao
Aza boy Nini?!!hyoooHakuna Mwalimu anaenyanyasa mwanafunzi ambae sio mtukutu ingawa kuna shule nilisoma kuna Mwalimu alikua anaitwa Ngozie Ila sio Mwalimu by profession maana alikua ana fani ya fine arts (mchoraji) alikua hana fani ya ualimu hata cheti Cha ualimu alikua hana akapewa ukuu wa shule yule alichokua anakifanya alikua anajua mwenyewe, kwa hio walimu wachunguzwe ni walimu by profession au kuna kingine hapo wamevamia fani za watu
Sijui kama unajua ulichoandika.Adhabu Kali sana hiyo
Walimu wana nini
Yule mtetezi wao aje ajibu.
Shida viherehere vinawaponza na sifa ndugu zangu walimuWalimu kila siku mnaambiwa, acheni mambo ya ulezi wa wanafunzi, hiyo ni kazi ya wazazi wao, wee fundisha ondokaa, kila mtu atajua baada muda wake wa kukaa pale kuisha na atavuna alichopanda.
Walimu mnataka muambiwajee?? Khaaah
Wewe ni Mwalimu?Sijui kama unajua ulichoandika.
Mimi ni mzazi, na mwanafunzi wa zamani ninayeelewa mazingira ya wanafunzi na waalimu yalivyo.Wewe ni Mwalimu?
Acha ukatili kwa wanafunzi
ItakuaAza boy Nini?!!hyooo
Yaan hawasikii wala hawaelewii khaaahShida viherehere vinawaponza na sifa ndugu zangu walimu
Uko sahihi kabisa Mkuu WanguMimi ni mzazi, na mwanafunzi wa zamani ninayeelewa mazingira ya wanafunzi na waalimu yalivyo.
Wanafunzi wanapaswa kufuata maagizo na masharti ya waalimu wao. FULLSTOP.
Otherwise tunatengeneza jamii ya ajabu kuwahi kutokea.
...Na Kunguru Hafugoki !...Ni kweli wanafunzi wengine ni wake za watu kwani walishaingia kwenye mahusiano ya kingono.
Hivyo kuwafuga hakuna tofauti na kufuga kunguru.
Labda kama nimesoma vby, nimesoma kama alifunga bweni kwa muda, baadaye akaenda kuwafungulia wanafunzi wakagoma wakaenda kulala darasani ILI TU WA EXAGGERATE ISSUE.Uko sahihi kabisa Mkuu Wangu
Isipokua Huyo Matron( Mwalimu na Mlezi wa kike) katoa Adhabu Kali sana Kwa hao wanafunzi.
Kuna Adhabu nyingi Sana ukizingatia na kosa , mazingira ya husika.
Matron kavuka kiwango ( Scale) kaingia kwenye Body and mental torture.
..... Walimu stop being Saddist.
Wanafunzi wa sikuhizi 🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!!Labda kama nimesoma vby, nimesoma kama alifunga bweni kwa muda, baadaye akaenda kuwafungulia wanafunzi wakagoma wakaenda kulala darasani ILI TU WA EXAGGERATE ISSUE.
Ila ni kawaida hata nyumbani enzi za balehe ukichelewa kdg mzazi anafunga mlango, anakufungia, kama mtoto unaomba msamaha kuchelewa ufunguliwe.
Hawa wao wameenda kuwasha moto na bahati mbaya jamii inaingia kwenye mtego wa kuwa upande wao... Tunawaharibu zaidi.
Mkongwe uko sahihi kabisa.Labda kama nimesoma vby, nimesoma kama alifunga bweni kwa muda, baadaye akaenda kuwafungulia wanafunzi wakagoma wakaenda kulala darasani ILI TU WA EXAGGERATE ISSUE.
Ila ni kawaida hata nyumbani enzi za balehe ukichelewa kdg mzazi anafunga mlango, anakufungia, kama mtoto unaomba msamaha kuchelewa ufunguliwe.
Hawa wao wameenda kuwasha moto na bahati mbaya jamii inaingia kwenye mtego wa kuwa upande wao... Tunawaharibu zaidi.