Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

Had shuleni? Sasa wanafanya kuangalia nn? Mie najua wanakua maeneo yenye mashaka.
Mashuleni pia wapooo dear sema huwa wanahama hama sana hawakai sehemu moja muda mrefu..
Wanapelekwa kwa misheni fulani tu wakishamaliza kilichowapeleka haoooo ghafla unasikia kahamishwa!!!
 
Mashuleni pia wapooo dear sema huwa wanahama hama sana hawakai sehemu moja muda mrefu..
Wanapelekwa kwa misheni fulani tu wakishamaliza kilichowapeleka haoooo ghafla unasikia kahamishwa!!!
Duuh bas hatariii shouzz ake, lol
 
Huyo ni Mimi,km mzazi wako kashindwa kukunyoosha baasi Mimi siwezi poteza mda,Siku hizi mitandao ndo mahakama zetu
Kitu kidogo wamerusha unajikuta unaingia matatizoni afu wakuu WA Shule waoga sana ujue wanawaruka sana walimu wao
Usimguse Mtoto wa mtu utapewa kesi hata huijui imetokea wapi mbaya zaidi na clip yako wakati unafanya ulichofanya unaonyeshwa km ushahidi ukiuliza ume-recordiwa saa ngap hujui, ulimwengu wa digital form 1 ana simu ya laki 7
 
Sijui watu wa IYUNGA watasemaje🤣🤣

Maana pale ndio kabisaaaa.

Sema wakizinguliwa sana huwa wanajibu kwa vitendo sio kususa.

Kuna mkuu wa shule alishawahi fukuzishwa cheo bado kidogo apigwe makofi na wanafunzi😅 hadi mkewe analia anamuombea msamaha🤣
Heri wa Iyunga ni watoto wa kiume Mkuu.

Loleza ni wasichana.
 
RC hana kazi za kufanya, ni sawa na yule DC wa tunduru aliyekwenda kufumania.

USA na wenzie wa Europe wangekuwa na viongozi kama hawa sidhani kama wangefika huko Mars au kutengeneza drones na haya masmart phone.

RC na DC mjifunze kudeal na mambo makubwa makubwa yanayoleta tija kwenye ustawi wa jamii kwa kutumia akili zenu kubuni mambo tofauti tofauti.
Mkuu wa Mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama mkoani kwake. Ni jukumu lake kulinda usalama wa raia walioko mkoani kwake. Mfano wanafunzi hawa wangepata madhara makubwa amawangefariki, asingewajibika? Fikiri nje ya box ndugu.
 
Vp mkuu wa wilaya anahusika wap

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wanastahili lakini si adhabu Kali kupita kiasi kama zile zilizopo Loleza.
Kama hawatak adhabu kali waache kufanya makosa
Tena wangetundika miguu juu ukutan kichwa chini matako nje

Tatizo wanawake mnajiona special sana na huu upumbavu wenu mnaleta hadi kwenye ndoa na jamii kiujumla

Ukiwa na adabu huwez kupata adhabu za kihun

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Usimguse Mtoto wa mtu utapewa kesi hata huijui imetokea wapi mbaya zaidi na clip yako wakati unafanya ulichofanya unaonyeshwa km ushahidi ukiuliza ume-recordiwa saa ngap hujui, ulimwengu wa digital form 1 ana simu ya laki 7
Asiyefunzwa na mama Ake ulimwengu utamfunza
 
Hakuna Mwalimu anaenyanyasa mwanafunzi ambae sio mtukutu ingawa kuna shule nilisoma kuna Mwalimu alikua anaitwa Ngozie Ila sio Mwalimu by profession maana alikua ana fani ya fine arts (mchoraji) alikua hana fani ya ualimu hata cheti Cha ualimu alikua hana akapewa ukuu wa shule yule alichokua anakifanya alikua anajua mwenyewe, kwa hio walimu wachunguzwe ni walimu by profession au kuna kingine hapo wamevamia fani za watu
Nimemkumbuka Bernard Ngoziye wewe ni Azaboy?
 
Hivi vyeo vingine ifikie wakati vifutwe tu ili hela zitakazo okolewa, zikafanyie masuala ya msingi.
 
Back
Top Bottom