Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Mbona alikuwa sahihikuna siku nilimsikia binti yangu wa stndrd two akisema mwalimu wake hana akili, aisee nilimwambia atubu na akamwombe msamaha mwalimu wake. kama mwalimu hana akili maana yake na mwanafunzi hana akili. akaleta mambo ya why why dad>? nikasema mkubwa akikosea unamwambia kwa heshima, huwezi pwayuka kuwa mwalimu hana akili. jifunze kupuuzia wajinga na kujifunza kuacha kufanya ujinga kimya kimya and not shouting mwalimu hana akili... tabia mbaya za kijeuri nyingine zinaendekezwa na wazazi