Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

kuna siku nilimsikia binti yangu wa stndrd two akisema mwalimu wake hana akili, aisee nilimwambia atubu na akamwombe msamaha mwalimu wake. kama mwalimu hana akili maana yake na mwanafunzi hana akili. akaleta mambo ya why why dad>? nikasema mkubwa akikosea unamwambia kwa heshima, huwezi pwayuka kuwa mwalimu hana akili. jifunze kupuuzia wajinga na kujifunza kuacha kufanya ujinga kimya kimya and not shouting mwalimu hana akili... tabia mbaya za kijeuri nyingine zinaendekezwa na wazazi
Mbona alikuwa sahihi
 
Mkongwe uko sahihi kabisa.
Ila zama zimebadilika sana
Sio kama enzi zenu mboko ndo zilikua zinaongea Leo hii hawa watoto wa 2000's
Wana balaa wako moto
Pia nyie kama wazazi hamna makali kama enzi zile
Sisi ukitumwa Dukani unapewa muda sasa kama una nguvu weee neng'eneka tu humo njiani.
Leo hii pia matumizi makubwa sana ya teknolojia yanatumika mixer siasa mara kule haki za watoto
Yani jambo dogo linakua kubwa na kubwa ni kubwa kuliko .
Walimu jitazameni... Kwani chakufia nini?
Ni kweli ....

Ila ndo tusiwatwishe walimu mizigo isiyokuwa yao...

Wasije wakatuachia wenetu.
 
RC hana kazi za kufanya, ni sawa na yule DC wa tunduru aliyekwenda kufumania.

USA na wenzie wa Europe wangekuwa na viongozi kama hawa sidhani kama wangefika huko Mars au kutengeneza drones na haya masmart phone.

RC na DC mjifunze kudeal na mambo makubwa makubwa yanayoleta tija kwenye ustawi wa jamii kwa kutumia akili zenu kubuni mambo tofauti tofauti.
Kama aliyekuwa anadinywa angekuwa ni binti Yako ndio ungeuona vizuri umuhimu wa RC kuwepo kwenye hilo tukio.
 
Loleza girls ina manyanyaso sana toka miaka hiyo,
HayajaAnza leo.
Kuna muda mwalimu anamkalisha mtoto nje asbh mpaka jioni kwenye mvua aiseee ni unyama.


Naongea nikiwa na uhakika wa kutosha,, I've been there for yrs.
Sijui watu wa IYUNGA watasemaje🤣🤣

Maana pale ndio kabisaaaa.

Sema wakizinguliwa sana huwa wanajibu kwa vitendo sio kususa.

Kuna mkuu wa shule alishawahi fukuzishwa cheo bado kidogo apigwe makofi na wanafunzi😅 hadi mkewe analia anamuombea msamaha🤣
 
Huyo ni Mimi,km mzazi wako kashindwa kukunyoosha baasi Mimi siwezi poteza mda,Siku hizi mitandao ndo mahakama zetu
Kitu kidogo wamerusha unajikuta unaingia matatizoni afu wakuu WA Shule waoga sana ujue wanawaruka sana walimu wao
Kila mtu apambane na hali yake yaan ufanye makosa huko mimi nikutetee kwan huna akili???

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ni mzazi, na mwanafunzi wa zamani ninayeelewa mazingira ya wanafunzi na waalimu yalivyo.

Wanafunzi wanapaswa kufuata maagizo na masharti ya waalimu wao. FULLSTOP.

Otherwise tunatengeneza jamii ya ajabu kuwahi kutokea.
Ishatengenezwa na hawa wanasiasa uchwara kila mtu apambane na hali yake

Mzaz mfundishe mwanao nidhanu dunia imevaa chupi sasa hivi shaur yako

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Labda kama nimesoma vby, nimesoma kama alifunga bweni kwa muda, baadaye akaenda kuwafungulia wanafunzi wakagoma wakaenda kulala darasani ILI TU WA EXAGGERATE ISSUE.


Ila ni kawaida hata nyumbani enzi za balehe ukichelewa kdg mzazi anafunga mlango, anakufungia, kama mtoto unaomba msamaha kuchelewa ufunguliwe.

Hawa wao wameenda kuwasha moto na bahati mbaya jamii inaingia kwenye mtego wa kuwa upande wao... Tunawaharibu zaidi.
Daaah wamewasha moto kweli
Dawa nikuyaacha yafundishwe na dunia basi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Au usalama!!
Hawa watu wamezagaaa kila sehemu nyie mnadhani mwalimu mwenzenu kumbe undecover[emoji3526][emoji3526]!!
Usalama waende shuleni ndo wawe wanafuatilia mlolongo wa utoaji wa adhabu kwa wanafunzi??bas kazi ipo. Hawana majukumu ya maana ya kufanyaa au?
 
Back
Top Bottom