Mbeya: Mwalimu wa Shule ya Loleza Girls afunga Bweni na kuwalaza Darasani Wanafunzi

Shida ya walimu Baadhi ni ukatili TU,Baridi ya Mbeya jamani daahh....mi sikatai nawajua walimu wenzangu Baadhi walivyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli wanafunzi ni watukutu ila adhabu ziangalie utu wa wanafunzi,
Adhabu nyingi zinazotolewa zinakiuka hadi za binadamu.
Kabisaa kabisaa
Unamlaza mtoto kwenye Baridi akifa na nimonia?!
Kuna Shule Zina mateso sana
 
Wamuache Ila apewe onyo matoto ya watu akae nayo mbali fundisha maliza sepa usianze kuleta malezi unawafanya watoto wa kwako yatakutokea puani siku hizi mtoto wa mtu sio wako we mpe elimu akachukua sawa asipochukua basi atafundishwa kwao
Huyo ni Mimi,km mzazi wako kashindwa kukunyoosha baasi Mimi siwezi poteza mda,Siku hizi mitandao ndo mahakama zetu
Kitu kidogo wamerusha unajikuta unaingia matatizoni afu wakuu WA Shule waoga sana ujue wanawaruka sana walimu wao
 
Aza boy Nini?!!hyooo
 
Mimi ni mzazi, na mwanafunzi wa zamani ninayeelewa mazingira ya wanafunzi na waalimu yalivyo.

Wanafunzi wanapaswa kufuata maagizo na masharti ya waalimu wao. FULLSTOP.

Otherwise tunatengeneza jamii ya ajabu kuwahi kutokea.
Uko sahihi kabisa Mkuu Wangu
Isipokua Huyo Matron( Mwalimu na Mlezi wa kike) katoa Adhabu Kali sana Kwa hao wanafunzi.
Kuna Adhabu nyingi Sana ukizingatia na kosa , mazingira ya husika.
Matron kavuka kiwango ( Scale) kaingia kwenye Body and mental torture.
..... Walimu stop being Saddist.
 
Labda kama nimesoma vby, nimesoma kama alifunga bweni kwa muda, baadaye akaenda kuwafungulia wanafunzi wakagoma wakaenda kulala darasani ILI TU WA EXAGGERATE ISSUE.


Ila ni kawaida hata nyumbani enzi za balehe ukichelewa kdg mzazi anafunga mlango, anakufungia, kama mtoto unaomba msamaha kuchelewa ufunguliwe.

Hawa wao wameenda kuwasha moto na bahati mbaya jamii inaingia kwenye mtego wa kuwa upande wao... Tunawaharibu zaidi.
 
Wanafunzi wa sikuhizi πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!!!
 
Mkongwe uko sahihi kabisa.
Ila zama zimebadilika sana
Sio kama enzi zenu mboko ndo zilikua zinaongea Leo hii hawa watoto wa 2000's
Wana balaa wako moto
Pia nyie kama wazazi hamna makali kama enzi zile
Sisi ukitumwa Dukani unapewa muda sasa kama una nguvu weee neng'eneka tu humo njiani.
Leo hii pia matumizi makubwa sana ya teknolojia yanatumika mixer siasa mara kule haki za watoto
Yani jambo dogo linakua kubwa na kubwa ni kubwa kuliko .
Walimu jitazameni... Kwani chakufia nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…