Mbeya na Kanda ya Ziwa ziwe semi-autonomous kama Zanzibar!

Huku Mbeya nimeona kundi la Sukuma Gang wakichimba dhahabu bado hao ni masikini?!
Nasema hivi Mbeya isichanganywe na Sukuma gang ,hatutaki watu wajinga sisi..

Chimbeni the nyie si ni manamba wa miaka yote mbona..

Msitafute huruma yetu komaeni na umaskini wenu huko huko.
 
Nasema hivi Mbeya isichanganywe na Sukuma gang ,hatutaki watu wajinga sisi..

Chimbeni the nyie si ni manamba wa miaka yote mbona..

Msitafute huruma yetu komaeni na umaskini wenu huko huko.
hata kama hutaki ndio uhalisia nenda pale Chunya, Mbarali hata hapa Mbeya mjini Sukuma Gang wamejaa na huna cha kuwafanya wakati wewe unapiga kelele wenyewe ni vitendo tu
 
hata kama hutaki ndio uhalisia nenda pale Chunya, Mbarali hata hapa Mbeya mjini Sukuma Gang wamejaa na huna cha kuwafanya wakati wewe unapiga kelele wenyewe ni vitendo tu
Kwani wamejaa Huko tuu? Nachosema hakuna Sukuma gang atakuwa na maamuzi na Mbeya..

Nyie ishieni kuwa manamba tuu ndio kazi yenu ..

Mwisho,Ukome kuihusisha Mbeya na utopolo wa sukuma gang,jigaweni nyie na umaskini wenu Huko Usukumani..

Nyie ni wageni tuu mumekaribishwa Hata udiwani hamna.
 
Mbona Tulia aliletwa na Sukuma Gang na sasa ni Spika kwani nani alimleta kwenye siasa? endelea kupiga kelele tu ila Sukuma Gang hawaepukiki
 
Kwani wasukuma hamuwezi endelea na upumbavu wenu hadi muombe support Mbeya?
 
Sijaongelea kujitenga, mbona Zanzibar ni sehemu ya Tanzania na imewezekana tunaweza kufanya kwingine pia!
Zanzibar ni nchi kamili, uwepo wa Tanzania unategemea Zanzibar ,maana Zanzibar ni miongoni mwa nchi iliounda Tanzania, ila Mbeya ni kimkoa cha Tanganyika(ilio kufa)
 
Lakini inakuwaje hizi kauli hazikutolewa na kukemewa kipindi kile Kayafa Magufuli akifanya upendeleo wa wazi kabisa kwa Kanda ya Ziwa huku akizisahau Kanda nyingine mfano Kusini na Nyanda za Juu Kusini?
Utaambiwa wakati huo hakukuwa na upendeleo wowote kila kilichopelekwa huko ni haki yao.
Halafu utaulizwa, "Kwani Kanda ya Ziwa sio sehemu ya Tanzania?"
 
Wewe zuzu kweli..hiyo dhahabu unatolea wapi..hiyo almasi..hilo ziwa linatoa samaki na dagaa kiasi gani..mifugo..bado kahawa..pamba..mpunga.

Hujui ni pato kiasi gani linaiingiza hii nchi kutoka kanda ya ziwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hakuna mpumbavu na mjinga aliyewahi kukuzidi hapa duniani.
 
Kwani nani alishafanya cha maana Mbeya?! Mwandosya amekuwa uchukuzi amefanya nini? Mwakyembe amekuwa usafirishaji amefanya nini? Barabara za Ajabu mbovu mbovu, Mbeya pamoja na kuwa na watu wengi inazidiwa mbali sana na Arusha
Ameleta uwanja,vyuo lukuki ..

Kwani nyie ni wanawake hadi muombe support ya wanaume wa Mbeya?

Mnamuogopa Mwanamke? 😬😬😬😬😬
 
Nafikiri Tuzungumze KWA umoja zaidi na KWA Upendo na nia yenye kujenga na siyo kubomoa, Tayari tunao mwingiliano wa makabila Kutoka Kanda zote hizi , Pendekezo ni kuwa tuwe na federal govts
 
Mnajua lkn mnachoongea? Mikoa ambayo haofikishi hata 2% ya mchango wa kodi katika Taifa ndjo ijitenge? Kwani wafanyakazi wanaotoa huduma katika hiyo mikoa mnalipa ninyi?
 
Utengano ni udhaifu. Hiyo kanda ziwa ina nini? Una nchi yenye ukanda wa bahari halafu unaitamani nchi ambayo itakuwa landlocked!
 
Ameleta uwanja,vyuo lukuki ..

Kwani nyie ni wanawake hadi muombe support ya wanaume wa Mbeya?

Mnamuogopa Mwanamke? 😬😬😬😬😬
Sasa ule uwanja wa Songwe ndio uwanja gani? Labda Tulia auweke fresh atleast uwe kama KIA Chuo gani kaleta? Sukuma Gang wapo Mbeya haina haja ya kuomba support wao wanapiga kazi tu
 
Nafikiri Tuzungumze KWA umoja zaidi na KWA Upendo na nia yenye kujenga na siyo kubomoa, Tayari tunao mwingiliano wa makabila Kutoka Kanda zote hizi , Pendekezo ni kuwa tuwe na federal govt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…