Mbeya raha sana wakuu

Mbeya raha sana wakuu

Niko uyole hapa napiga vyombo

Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=

Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=

Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=

Boda bei ni buku tu.

Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
gharama za PISI zipoje
 
Mkuu vipi bei ya totoz au hujafanikiwa kupata chimbo huko? Anayeifahamu Mbeya vizuri tafadhali atupe ramani ya machimbo.
 
Totoz class gani? Kama unata A class ni Mbeya Pazuri,City pub na kidogo Mwailubi. Kama unataka average hizo unazipata kwenye bar nyingi ila sio hiyo sehemu aliyoitaja mwenye sredi
 
Totoz nenda Mbeya Pazuri au Nasoma, ila hawa wa buku buku wapo mtaa mmoja unaitwa Kingani semaa ndo mtaa mzima hewa nzito balaa, pale ukitulia utofautishe harufu zinazosikika lazima uhisi na harufu ya nyapu
 
Asante kwa koneksheni huu murua mkuu
 
Totoz nenda Mbeya Pazuri au Nasoma, ila hawa wa buku buku wapo mtaa mmoja unaitwa Kingani semaa ndo mtaa mzima hewa nzito balaa, pale ukitulia utofautishe harufu zinazosikika lazima uhisi na harufu ya nyapu
Mkuu acha utani kingani yote ile imejaa ukimwi 😂
 
Niko uyole hapa napiga vyombo

Konyagi size ya kati bei 9,000/= wakati dar bei ni 11,000/=

Kitimoto kilo moja na ndizi mbili jumla 9,500/=

Lodge nzuri tu ina maji ya moto 15,000/=

Boda bei ni buku tu.

Kwa nini nisinenepe mwaka huu?
Unawaza tumbo tu??🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom