Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AMEITIA SANA DOSARI FANI YA HABARI. (unapiga hadi unaua mtoto wa miaka 4) angelikuwa wa miaka 7+,ungemuazibu kwa wastani tu, huyu wa miaka minne ambaye pengine alishikwa na uharo!Kumbe waandishi wa habari nao wana matatizo ya akili.
Duuhhuu
Hao waandishi watangazaji wa mambo ya umbea udaku tuAMEITIA SANA DOSARI FANI YA HABARI.
hizo akili za ki CHADEMA kabisa maana ccm hakuna mtu mwenye akili finyu kama huyu chizi unapiga mtoto 4 yrs kweli kisa mbunye imeshawishi apige ? sasa jela maisha inamuhusu na mbunye atakuwa anazisikia tuBaba unaanzaje kutoa kichapo kwa mtoto under 5 years? Mental health is real.. CCM must go now
Naona mnyakyusa na mndali! Ndiyo zao
haha
Huyo Mwashambwa ni mnyiha sio mndali.Naona mnyakyusa na mndali! Ndiyo zao hao
Wanyiha haoDadake Lucas Mwashambwa ni Mndali 😂😂😂
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji na Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU viwandani Jijini Mbeya kwa tuhuma za mauaji ya mtoto Chloy Ramadhan [04] kwa kumpiga fimbo sehemu mbalimbali za mwili.
Ni kwamba Novemba 25, 2024 saa 2:00 usiku huko Mtaa wa TEKU viwandani Jijini Mbeya, mtoto Chloy Ramadhan [04] alifariki dunia baada ya kupigwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na baba yake mzazi aitwaye Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] akishirikiana na mama yake wa kambo aitwaye Mariamu Charles Mwashambwa [28] wote wakazi wa TEKU viwandani.
Uchunguzi umebaini kuwa chanzo cha tukio hilo ni ukatili na unyanyasaji kwa kumuadhibu mtoto baada ya kujisaidia kwenye nguo alizokuwa amezivaa.
Jeshi la Polisi linawataka wazazi/walezi kuacha vitendo vya kujichukulia sheria mkononi dhidi ya watoto pindi wanapokosea na badala yake watumie njia sahihi na salama kuwafundisha au kuwaelekeza bila kusababisha madhara.
View attachment 3162069View attachment 3162070
pole sana mkuu Lucas MwashambwaMwashambwa
hapana mnyakyusa na mnyihaNaona mnyakyusa na mndali! Ndiyo zao hao
Uongo utakusaidia nini?
Huyo jamaa ni mpumbavu tu, haipaswi kuamini taarifa na kuzibeba kwa uzito bila kujiridhisha. Mtoto wako anatakiwa awe rafiki yako, hii husaidia hata mwanaume kujua madhila anayopitia.Ni matokeo ya mwanaume kupewa taarifa mbaya za mara kwa mara juu ya mtoto wake.