Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

Unawezaje kuongea lugha bila kujua misamiati? Jitahidi kila siku ujue neno jipya la kiingereza ulilokuwa hujui.
 
Acha kunililia kipuuzi mimi sio babako. Pia sikukutuma uandike VENTING badala ya VETTING
 
Unawezaje kuongea lugha bila kujua misamiati? Jitahidi kila siku ujue neno jipya la kiingereza ulilokuwa hujui.
Umeona hii denial unayoionesha hapa?

Unajaribu kujifanya Mr right hata pale ambapo hoja sahihi za kukurekebisha zinaibuliwa ila kwasababu ulishatanguliza ujuaji wa kujifanya wewe ni mwamba wa lugha inakuwia vigumu kukubaliana na kukosolewa huko.

Ni kweli, huwezi kuzungumza lugha bila kuwa na misamiati. Lakini kuwa na misamiati mingi kichwani pekee hakutoshi kuifanya lugha yako iwe fasaha, sanifu, au yenye mantiki. Hili ndilo somo la msingi ambalo bado hujaonesha kuwa umelielewa.
 
Acha kunililia kipuuzi mimi sio babako. Pia sikukutuma uandike VENTING badala ya VETTING
Hasira ya kutoa matusi ni silaha ya mwisho ya mjinga baada ya kuishiwa hoja.

Na kwa namna ulivyojibu, ni wazi kuwa hoja ya msingi kuhusu mfumo wa uteuzi wa viongozi ambao ni mbovu imekuumiza zaidi kuliko kosa la spelling ya venting.
 
Ningejadili hoja yako endapo usingeleta ubishi wa kijinga. Ukikosea kitu kiri badala ya kubishana. Wewe hustahili kukosoa mtu yeyote kwa sababu hutaki kukosolewa.
 
Jomba hujui kiingereza. Unajitetea sana kwa maneno mengi ila pumba tupu. Kutojua vizuri kiingereza sio ulemavu.. pambana ujue.
 
tazara haijapita mikumi imepita selous
Reli ya TAZARA inapita jirani sana na Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, kupitia eneo la Kidatu, Mang’ula na Kisaki, ambako treni hupitia ndani ya msitu wa Selous (ambao unaunganika na Mikumi kwa ikolojia). Wakati mwingine abiria/ wasafiri huona wanyama kama tembo,pundamilia,nyumbu,swala, nyati, au simba kupitia madirishani.
 
Ningejadili hoja yako endapo usingeleta ubishi wa kijinga. Ukikosea kitu kiri badala ya kubishana. Wewe hustahili kukosoa mtu yeyote kwa sababu hutaki kukosolewa.
Kwanza hoja yangu haikuwa juu ya kukataa kukosolewa, bali ilikuwa juu ya upotoshaji wa ukosoaji wako baada ya wewe kuchanganya kati ya spelling mistake na grammar mistake.

Na ukosoaji wako ulijikita zaidi kwenye kujikweza, ulitumia makosa hayo ya uandishi kama sehemu ya udhalilishaji na kuishusha level ya elimu yangu.
 
Ukikosea kiri ili usonge mbele. Wewe inaonekana ni mtu wa kutokubali makosa yako. Wewe ni malaika?
 
Jomba hujui kiingereza. Unajitetea sana kwa maneno mengi ila pumba tupu. Kutojua vizuri kiingereza sio ulemavu.. pambana ujue.
Wewe unayejigamba kujua Kiingereza, ni mwalimu yupi aliyekuambia kwamba ukikariri misamiati mingi kichwani basi tayari unajua Kiingereza fasaha?

Mpaka sasa, hujanionesha kipimo chochote cha kisarufi, kimuktadha, wala kimantiki kinachoweza kuthibitisha kwamba kweli unajua Kiingereza.

Au unataka ile vetting uliyonisahihisha ambayo ni kosa la spelling tu, ndiyo isimame kama cheti chako cha English course?
 
Unalia sana ila ulikosea. Nakusisitiza sana jua misamiati mingi ya kiingereza. Kwa mfano KNIGHT na NIGHT ni vitu viwili tofauti kabisa ila kwa mpuuzi kama wewe utasema ni spelling mistake.
 
Ukikosea kiri ili usonge mbele. Wewe inaonekana ni mtu wa kutokubali makosa yako. Wewe ni malaika?
Kwanza, nimeshakiri kosa la spelling tangu mwanzo, hilo halina ubishi.

Niliandika venting badala ya vetting, na nikasema wazi kuwa si kosa la kutokuwa na maarifa kama wewe ulovyoliwasilisha bali ni kosa la uandishi.

Na zaidi ya hapo, nikaeleza kuwa si Kiingereza tu, hata Kiswahili, lugha mama inanipa changamoto kwenye maeneo mengi. Kwa hiyo hoja ya kusema 'sikubali makosa' haina msingi.

Na nilipokosoa hoja yako ya kusema “kariri misamiati mingi" kama ndiyo kipimo cha kujua Kiingereza fasaha, badala ya kukubali kukosolewa, ulionekana kukasirika, kwa sababu ulijipambanua tangu mwanzo kama bingwa wa lugha, na umahiri huo wa lugha ukauhusisha na uwezo wa kielimu.

Kama tungeamua kugeuza mjadala huu kuwa mashindano ya kutafuta makosa ya uandishi, hata wewe usingebaki salama. Lakini hiyo siyo njia ya kujenga hoja.

Mjadala wa greatt hinkers unahitaji heshima, mantiki, na uwezo wa kukubali kukosolewa si matusi, si kejeli, na si majigambo ya ujuaji.
 
Unalia sana ila ulikosea. Nakusisitiza sana jua misamiati mingi ya kiingereza. Kwa mfano KNIGHT na NIGHT ni vitu viwili tofauti kabisa ila kwa mpuuzi kama wewe utasema ni spelling mistake.
Unaelewa maana ya spelling mistake?

Aliyekuambia maneno mawili kuwa na maana tofauti hakuwezi kutoa nafasi ya spelling mistakes ni nani?
 
Sasa kama hata kiswahili kinakushinda unajua nini kijana? Inakera sana kuona mtu mjinga kama wewe unalazimisha uonekane mwerevu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…