Mbeya: Wenye nyumba za tope mjini kuhamishwa

Sawa ni aibu, lakini muda sio muafaka, hali ni ngumu sana kwa wananchi wengi. Walishindwa kujenga wakati hali ni afadhali, jee leo hii si unataka kumvunjia mtu nyumba yake. Wawajengee tuu, kumalizika mchezo.
 
Kama hawawezi kujnga nyumba za kisasa siwawauzie tuuu wenyeuwezoo??
 
Wanaongelea nyumba za tope lipi??!!Kama zile tofar mbichi Mbeya Basi aachane nazo tu!nyumba ya mzee wangu now Ina miaka 35 haijawahi tetereka hata ufa tu!!!.
Kwa Mbeya tope ni imara Sana,na ndio maana msingi wa mawe tunajengea tope!!
Ushamba na kutoelewa tu. Mi nimeona watu Mbeya wanajenga kwa tofali mbichi na kuacha za kuchoma kwa sababu mbichi ni imara zaidi. Nina mfano hai wa watu wawili. Wanasema za kuchoma zinapukuchika. Hizo nyumba za sehemu kama majengo zina miaka kibao.
 
Kwa maana hiyo nchi imeshakuwa ya matajiri tu na kama hauna kitu basi huna haki tena ya kuishi mjini, hii ndio Tanzania wanayotaka kutuletea

Katika sheria za kudhibiti upanukaji wa mji kuna strageties huwa zinatumika ili kulinda watu wa hali ya chini na kudhibiti matajiri kumiliki maeneo makubwa maana nchi ina watu wa hali ya chini wengi zaidi

Mfano wangeweza kuanzisha mradi wa affordable housing for poor kwa gharama ya kupunguza ukubwa wa viwanja vyao na kuwajengea nyumba ya gharama ndogo, au kujenga nyumba za ghorofa ili wawekezaji wapya wafaidike na wazawa wafaidike kuishi humo

Hivyo ndio jamii zilizo starabika huwa zinafanya duniani kote sio mtu kumtoa mjini na kumpelea nje ya mji huko
 
Wewe kariakoo huijui kabisa, sasa siku jaribu kutoboa Msikiti wa Idrisa upitie barbara ya Mzizima utokee mchikichini ndio utajua bonde la msimbazi lipo wapi na watu wanaishije huko hapo ndio utagundua mtaa wa jangwani pale ushuani
 
Sawa ni aibu, lakini muda sio muafaka, hali ni ngumu sana kwa wananchi wengi. Walishindwa kujenga wakati hali ni afadhali, jee leo hii si unataka kumvunjia mtu nyumba yake. Wawajengee tuu, kumalizika mchezo.
kuna ugumu gani kama nchi iko uchumi wa kati ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…