Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Hakuna mtu amemuota yesu hapa acheni uongo wenu WA wazi wazi.msituletee ujinga humu ndani ,hapa sio kanisani kwa zumaridi
 
Uzuri Ni kwamba,
Sijawahi sikia tajiri kaanguka pepo[emoji1]
Inategemea na level yako ya kufikiria kuhusu utajiri kwani hakuna kipimo rasmi cha utajiri na umaskini humu duniani. Wengine wakiwa na afya njema ni matajiri, wengine wakiwa na uhakika wa kula na kuvaa ni matajiri, wengine wakiwa na watoto ni matajiri kama ambavyo wewe unajiona tajiri kwa kuwa unamchepuko mama J maana ndio kitu pekee cha thamani ulichonacho na ndio maana kutwa nzima unakitangaza humu. Kwa hiyo usiongee wala kujeneralize vitu bro.
 
Hahaaaaa, kama ulivyokuwa unaamini Chelsea watachukua ubingwa wa UEFA [emoji30][emoji3][emoji1][emoji38][emoji28][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna mtu amemuota yesu hapa acheni uongo wenu WA wazi wazi.msituletee ujinga humu ndani ,hapa sio kanisani kwa zumaridi
Ila Baba na Mama yako aliyekufa unaweza Muota. Hahahaaaa, mwenye haki, mtakatifu na Mungu wa Miungu. Yeye aliyekuwepo, aliyepo na atakayekuwepo alijifunua kwa watu wake toka enzi ma enzi.

Musa alimuona, Isaya alimuona, Mikaya alimuona, Ezekiel alimuona, Daniel alimuona, Paulo alimuona, Yohana alimuona pale Patmo. Binafsi nimemuona katila utukufu wake. Yeye ukimuita atakuitikia. Hatuabudu Mungu jiwe. Tunamuabudu mtakatifu na mwenye haki. Yeye aliye hai hata milele na milele.
 
Ni bora mtu aniambie katokewa na Mungu fresh wakaongea yao yakaisha akarudi kitandan fresh,ila maswala ya kupaishwa juu na mabwawa mpk kafikishwa mbinguni na akapaona,asee haiwez kuwa kweli
Chai ya mdalasini KABISA[emoji38]
 
Ufafanuz mzur Sana[emoji4][emoji106]
 
May God bless you for the good testimony...
 
Hakuna mtu amemuota yesu hapa acheni uongo wenu WA wazi wazi.msituletee ujinga humu ndani ,hapa sio kanisani kwa zumaridi
Watu wanachekeshaa balaa, afu unakuta msomi mzima tena wa sayansi, let say Dr, Eng, ana amini na kutoa hizi hadithi za Abunuasi.

Huwa nachoka kwa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kweli Ni story ndefu Sana [emoji1787]
 
Sorry naomba kuuliza unasema ulipofika mbinguni ukakutana na wengine mkaimba wimbo wa “bwana Mungu nashangaa kabisa”

Je huko ni lugha ya kiswahili pekee unatumika? Au sehemu ulipelekwa ni mbingu wako wanaojua kiswahili pekee!?

Asante
Atakua alipelekwa mbingu ya msoga[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…