Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Eeh Mungu utusaidie,biblia inasema "watatazama lakini hawataona,watasikia lakini hawataelewa maana fikra zimepofushwa na akili zimetiwa giza
 
Mtumishi Gani wa Mungu tena mzee wa kanisa unatumia misemo ya kihuni! Kama "Kamanda" mtaani ni msemo wa kihuni!...Jeshini ni jina lenye hadhi yake.
 
Tunaongelea utajiri wa pesa mkuu,
Hakuna mwenye kibunda akadondoka pepo, Cha muhimu tutafte pesa,zingine porojo TU[emoji1]
 
Sura ya yesu uliovoiona Unaweza kuielezea ikoje, ukawii kusema yesu Ni mzungu[emoji1787]
 
Watu wanachekeshaa balaa, afu unakuta msomi mzima tena wa sayansi, let say Dr, Eng, ana amini na kutoa hizi hadithi za Abunuasi.

Huwa nachoka kwa kweliii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waongo sn Hawa watu,
Akiwapata watu 10 kuwabrain wash utaskia nae mtoa mada kafungua kanisa[emoji1]
 
Sikuwepo ila mimi ni nani hadi nipinge , Hongera mkuu .
 
Siamini katika ndoto kabisa, kila nachoota huwa najua ni kutokana na experience ya maisha au kile nachokutana nacho kwenye maisha ya kawaida , lakini naamini kwa hakika Mungu yupo na tunapoenda tutakutana naye

Jiulize , Shetani yupo na ukimtaka unamuona iweje aliyemuumba asiwepo??
Hivyo kwa ambae haamini uwepo wa Mungu , asadiki ama asisadiki huo ndio ukweli, YUPO.
 
Serikali imeajiri mtu wa hovyo sana,


"HILI NALO MKALITAZAME"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…